Ni very fascinating hapa duniani kila jamii ina idea ya Mungu wake na kila jamii hio ndio inasema Mungu wake ndie sahihi

Ni very fascinating hapa duniani kila jamii ina idea ya Mungu wake na kila jamii hio ndio inasema Mungu wake ndie sahihi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
■India

■Thailand

■China

■Vatican

■Saudi Arabia

■Jamii zilizomo msitu wa Amazon

Hizi ni sehemu ambazo ukienda lazima ukute utofauti mkubwa wa imani yako na utaishia kuwaita waabudu masanamu na mashetani ila pia na wewe wataishia kukucheka kwa namna hio.

Kabla ya muarabu na Mzungu kuja, babu yako aliamini nini na katika nini? Je babu yako hakuwa sahihi?

Je ushawahi kujiuliza kama wahindi ndio wangekuja kabla ya wazungu na waarabu, leo hii ungewaitaje wazungu na waarabu kuhusu imani ya Mungu wao?
 
God is a frequency. Ndo maana kuna christ consciousness.

Hii ndo inafanya kila jamii ije na dhana yake ila wote wa naongelea kitu kimoja.

A level of awareness that surpasses human understanding.
 
Sehemu kubwa ya jamii hii tunayoiona leo haikuwepo kwa Idadi, jiografia na maendeleo mfano wa leo. Hizo nchi ulizozisemea jamii zake ni zajuzi tu hapa hawana ukale wowote.

Hiyo Dar miaka ya 1945 mji mzima ulikuwa pori na idadi ndogo hasa waliokaa pembeni mwa bahari.
 
Back
Top Bottom