Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Ni Bob Wine pekee kutoka ukanda huu wa afrika mashariki ndiye aliyestahili kushirikishwa kwenye hizo tuzo.
Kwa sababu zake huyu Raisi akalazimisha kibaraka wao kuwa mgombea na, bila aibu, akamfanyia na kampeni. Mungu si heche, akaingilia kati na kumtupilia mbali huko.
Naunga mkono ule uzi, huyu Raisi ajiuzulu haraka sana!
- anapambana nyumbani (Uganda), hajawahi kukimbia Wala Hana passport ya nchi nyingine mfukoni.
- hatumiki na mabeberu, anapambania kweli Waganda
- familia yake ipo Uganda kama yeye, hajaificha ulaya.
- hatujawahi kusikia akitoa maneno ya kihaini Wala chuki za kidini na kikanda, ye anapambania demokrasia kwa uwazi na umoja wa Waganda wote.
- ni kweli Uganda hakuna demokrasia, tofauti na hapa Tz ambapo imejaa mpaka inapwakuka.