Kwanini Mungu hakutaka watu wa Babeli washirikiane kufanya mambo makubwa kwa ni moja na umoja ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Katika Kitabu cha Mwanzo 11: 1-10 kuna story watu wa mji mmoja waliamua kushirikiana, kwa na lugha moja na kufanya mambo kwa umoja na kushirikiana ikapeleka mungu kuchukizwa kuwavuruga kwa lugha na kuwatawanya.

Kulikuwa na tatizo gani watu kushirikiana, kuwa na lugha moja, wazo moja, nia moja na kufanya mambo yao kwa umoja?
 
watu wa eneo hilo waliamini katika mungu mkuu,alie juu,yaani the most high,huyo mungu aliitwa El,,ndo deity aliekuwa akiabudiwa eneo hilo kama mkuu wa miungu mingine yote,so waliamini mungu huyo anaishi maeneo ya juu kama milimani,etc,,ndo masna hata moses alupotaka kuongea na mungu alienda mlimani,na pia yesu,
sasa kitendo cha kujenga jumba la ghorofa,ilichukuluwa kama kutaka kujifananisha na mungu,ilikua ni abomination,
ule mnara wa babel ulifail simply because hawakuwa na vifaa kama nondo,etc,na hawakuwa na ujuzi kama wa wamisri wa kujenga yale mastructure makubwa nimesahau yanaitwaje
 
Aliogopa, kwani kwa umoja wao wangetengeneza ngazi itakayofika hadi mbinguni na hata kumletea madhara.

Sometimes kinyago ulichokichonga kinakutisha, mkuu.
Naskia babu zako walikua wanapiga miti Kwenye ngazi ndo maana umerith uchoko, kwenye familia yenu naskia kila kizaz kinachoko mmoja na kizaz hiki ndo ww
 
Katika Kitabu cha Mwanzo 11: 1-10 kuna story watu wa mji mmoja waliamua kushirikiana, kwa na lugha moja na kufanya mambo kwa umoja na kushirikiana ikapeleka mungu kuchukizwa kuwavuruga kwa lugha na kuwatawanya.

Kulikuwa na tatizo gani watu kushirikiana, kuwa na lugha moja, wazo moja, nia moja na kufanya mambo yao kwa umoja?
Aliogopa, kwani kwa umoja wao wangetengeneza ngazi itakayofika hadi mbinguni na hata kumletea madhara.

Sometimes kinyago ulichokichonga kinakutisha, mkuu.
Na sasaivi tunajua kabisa hata angewaacha wakaendelea kujenga wasingefika popote maana hakuna "mbingu" iliyopo huko juu
 
Aliogopa, kwani kwa umoja wao wangetengeneza ngazi itakayofika hadi mbinguni na hata kumletea madhara.

Sometimes kinyago ulichokichonga kinakutisha, mkuu.
Hiyo haikuwa sababu kwa mujibu wa maandiko ya Biblia.
Hata hivyo mbona leo kuna minara mirefu sana inajengwa kuliko huo wa Babeli na Kuna hadi vyombo vya kwenda mwezini na Mars ila haimsumbui??
 
watu wa eneo hilo waliamini katika mungu mkuu,alie juu,yaani the most high,huyo mungu aliitwa El,,ndo deity aliekuwa akiabudiwa eneo hilo kama mkuu wa miungu mingine yote,so waliamini mungu huyo anaishi maeneo ya juu kama milimani,etc,,ndo masna hata moses alupotaka kuongea na mungu alienda mlimani,na pia yesu,
sasa kitendo cha kujenga jumba la ghorofa,ilichukuluwa kama kutaka kujifananisha na mungu,ilikua ni abomination,
ule mnara wa babel ulifail simply because hawakuwa na vifaa kama nondo,etc,na hawakuwa na ujuzi kama wa wamisri wa kujenga yale mastructure makubwa nimesahau yanaitwaje
Hawakutawanya kwa sababu ya kujenga mnara kuelekea juu bali kwa sababu walikuwa wanajenga na kuendeleza mji wao.
 
Hapo hapo wanakuambia Mungu yuko moyoni mwako, mara yuko kila mahala lakini akaogopa mnara kumfikia juu mawinguni.. na ukifikiria mamilioni square ya upana wa anga unaweza shangaa kitu lenye miguvu linaogopaje kamnara kasiko hata na upana wa mita 50 kumfikia..
 
Biblia imeweka wazi: walitaka kumfikia Mungu.
Ujuaji wa binadamu ni upotovu mtupu.
Hata binadamu wa sasa amejivuruga na teknolojia. Hii AI ndio zaidi ya janga
 
Hawakutaka kumfikia mungu, walikuwa wanajenga mnara mrefu wa kuwapa sifa kama vile tu leo Waarabu walivyojenga Burj Khalifa.
 
watu wa eneo hilo waliamini katika mungu mkuu,alie juu,yaani the most high,huyo mungu aliitwa El,,ndo deity aliekuwa akiabudiwa eneo hilo kama mkuu wa miungu mingine yote,so waliamini mungu huyo anaishi maeneo ya juu kama milimani,etc,,ndo masna hata moses alupotaka kuongea na mungu alienda mlimani,na pia yesu,
sasa kitendo cha kujenga jumba la ghorofa,ilichukuluwa kama kutaka kujifananisha na mungu,ilikua ni abomination,
ule mnara wa babel ulifail simply because hawakuwa na vifaa kama nondo,etc,na hawakuwa na ujuzi kama wa wamisri wa kujenga yale mastructure makubwa nimesahau yanaitwaje
Kumbuka Kuna Mungu uyu wa kuanzia herufi kubwa na mungu uyu mdogo wa kuanzia herufi ndogo.
Sasa sijui wewe una maanisha yupi...?
 
Ndio mada zake daily.. Halafu zimejaa ujinga mwingi sana na upotofu wa kutosha😂
Mkuu mbona siku hizi mada za kichawi na uganga huleti tena?
Nifundishe nama ya kutumia chumvi na mafuta niwe bilionea😁
 
Back
Top Bottom