Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Hizi dhihaka ni old fashioned manšMkuu mbona siku hizi mada za kichawi na uganga huleti tena?
Nifundishe nama ya kutumia chumvi na mafuta niwe bilioneaš
Hizi dhihaka ni old fashioned manšMkuu mbona siku hizi mada za kichawi na uganga huleti tena?
Nifundishe nama ya kutumia chumvi na mafuta niwe bilioneaš
Unaweza ukaniambia hiyo ni kwasababu gani? Isije ikawa unatumia mazoea tu ambayo umekuta hivyo.Kumbuka Kuna Mungu uyu wa kuanzia herufi kubwa na mungu uyu mdogo wa kuanzia herufi ndogo.
Sasa sijui wewe una maanisha yupi...?
Zile Pyramid za misri hazijaelezewa kwenye bibilia mkuu. Hadi leo bado ni kitendawili namna gani zilisimamishwawatu wa eneo hilo waliamini katika mungu mkuu,alie juu,yaani the most high,huyo mungu aliitwa El,,ndo deity aliekuwa akiabudiwa eneo hilo kama mkuu wa miungu mingine yote,so waliamini mungu huyo anaishi maeneo ya juu kama milimani,etc,,ndo masna hata moses alupotaka kuongea na mungu alienda mlimani,na pia yesu,
sasa kitendo cha kujenga jumba la ghorofa,ilichukuluwa kama kutaka kujifananisha na mungu,ilikua ni abomination,
ule mnara wa babel ulifail simply because hawakuwa na vifaa kama nondo,etc,na hawakuwa na ujuzi kama wa wamisri wa kujenga yale mastructure makubwa nimesahau yanaitwaje
habari kuwa eti walichanganywa lugha inaji contradict,,maana hata kabla ya tukio la mnara,lugha zilikuwepoHawakutawanya kwa sababu ya kujenga mnara kuelekea juu bali kwa sababu walikuwa wanajenga na kuendeleza mji wao.
Nawe unajua Habari za Bible??
Walikua wanarishana ujinga kwa pamoja. Ni sawa na ccm wanavyolishana uchawa kwa pamoja, bila kuwa na lugha tofauti uchawa utamaliza Taifa. Kama Iq ndogo usiulize swali, sitajibu.Katika Kitabu cha Mwanzo 11: 1-10 kuna story watu wa mji mmoja waliamua kushirikiana, kwa na lugha moja na kufanya mambo kwa umoja na kushirikiana ikapeleka mungu kuchukizwa kuwavuruga kwa lugha na kuwatawanya.
Kulikuwa na tatizo gani watu kushirikiana, kuwa na lugha moja, wazo moja, nia moja na kufanya mambo yao kwa umoja?
uzuri ccm sio Mungu, siku yake yajaKupinduliwa kusikie tu kwa jirani. Hata sir God hawezi achia kiti cha Enzi kizembeš... Isaya 14:13. Kasome hapo ujue ni nini kilimpata shetani alipotamani kile kiti cha Enzi.....yaani alitamani tu.... Kwa hiyo ccm wanapita mulemule
Labda yeye kasogea juu zaidi, kwenye mbingu ya Saba.Hiyo haikuwa sababu kwa mujibu wa maandiko ya Biblia.
Hata hivyo mbona leo kuna minara mirefu sana inajengwa kuliko huo wa Babeli na Kuna hadi vyombo vya kwenda mwezini na Mars ila haimsumbui??
Time wastage!. Walidhani Angani ndio Mbinguni?š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Katika Kitabu cha Mwanzo 11: 1-10 kuna story watu wa mji mmoja waliamua kushirikiana, kwa na lugha moja na kufanya mambo kwa umoja na kushirikiana ikapeleka mungu kuchukizwa kuwavuruga kwa lugha na kuwatawanya.
Kulikuwa na tatizo gani watu kushirikiana, kuwa na lugha moja, wazo moja, nia moja na kufanya mambo yao kwa umoja?