Duh.... Magufuli alipoitwa mungu na hakukanusha, umauti ukamvaa.
Naona hawajajifunza wanarudia yale yale kumtukuza mwanadamu, always huwa nasema uvccm is nothing but kusanyiko la chawaDuh.... Magufuli alipoitwa mungu na hakukanusha, umauti ukamvaa.
Utukufu wa MUNGU hauchangamani na wa mwanadamu hata siku moja
Wacha mungu wa Kizimkazi akakutane na Muumba wakeNaona hawajajifunza wanarudia yale yale kumtukuza mwanadamu, always huwa nasema uvccm is nothing but kusanyiko la chawa
UVCCM hii ni takataka ambazo haziwezi kuwa recycled kabisa.Naona hawajajifunza wanarudia yale yale kumtukuza mwanadamu, always huwa nasema uvccm is nothing but kusanyiko la chawa
matokeo ya kula rushwa, kuteka na kuuaKweli uvccm umeme mdogo kichwani
Hawa jamaa ni kama wagonjwa wa akili tuKwahio Tanzania tumepata Mtume mwingine sio?
Yaani thinking capacity ya hawa madogo wa usisiemuni huko ni kama ipo kwenye retardation modematokeo ya kula rushwa, kuteka na kuua
HAlafu samia kakaa kimya tu kama haoni ni cha kusema dhidi ya hawa vijana
😁Subhanallah!Hawa wahuni wataisababishia gharika hii nchi.Midomo hiyo!Waachane na kasumba mbaya ya uvutaji wa bangi.
Au Una maoni gani mkuu?
Kuna kitu nilitaka kusema ila ngoja niwasamehe, yuko wake Mwagelo??Yaani thinking capacity ya hawa madogo wa usisiemuni huko ni kama ipo kwenye retardation mode
Endelea kuwapasha hao malhuun KAUMUL'LUT!Au Una maoni gani mkuu?