David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Hawanaga akili,hawajawahi kuwa na akili na hawatokuwa na akili
Hivi aka yao(alternatively known as) ndiyo majinoon/majinuni?Endelea kuwapasha hao malhuun KAUMUL'LUT!
Aseme nini kama anao huo UunguHAlafu samia kakaa kimya tu kama haoni ni cha kusema dhidi ya hawa vijana
Unaweza kumjibu kwa kumtumbua ili wajifunzeUkiw rais huwez jib kila kitu ,hutaonekn rais bali mtengenez maudhui
Samuya Nouma. Anamzidi hata Messiah wa Mungu, Bwana Yesu Christo?