Wanawake wenye makalio makubwa ni wapotezaji (losers) wakubwa katika era ya maendeleo ya mitandao ya kijamii ni wanawake.

Wanawake wenye makalio makubwa ni wapotezaji (losers) wakubwa katika era ya maendeleo ya mitandao ya kijamii ni wanawake.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio.

Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara, fremu, siasa na mpaka hospital sasa zinavurumishwa video clips tu za wanawake wanatikiskisa makalio, wengine wako uchi, wengine wamevaa chupi, bikini, magauni, suruali, skin tight, khanga na hata abaya na baibui!
 
Jamii imewapa platform ambayo hawakustahili kabisa. Ukiona mtiririko wako wa feeds umejaa wanawake wenye makalio ni matokeo ya algorithms. Ina maana na wewe ni mdau au mfuatiliaji wa hayo yanayoonyeshwa kwenye screen yako. Algorithm yenyewe inakuletea kile unachopendelea zaidi kukitazama
 
Kama ambavyo mitandaoni wanaume wengi huonyesha pesa kila uchwao,Nao wanaonyesha Matako yao Makubwa ili kila mmoja amnase mwenzie!

Wanaume wengi wa kizazi hiki wanapenda Matako makubwa na Wanawake wengi wa kizazi hiki wanapenda Pesa!

So,Ukipenda Pesa itakupasa Utoe Matako yapigwe na Ukipenda Matako itakupaswa utoe pesa Ziliwe!

NGOMA DROOOOOO!
 
Astaghfirullah,
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
 
Back
Top Bottom