wanawake wenye makalio makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa ni wapotezaji (losers) wakubwa katika era ya maendeleo ya mitandao ya kijamii ni wanawake.

    Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio. Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
  2. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

    Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu...
  3. jjs2017

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanajiamini sana kupita kiasi

    Habari.. Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanajiamini sana na ni majasiri sana kupita kiasi.. Yani unakuta mwanamke anakalio kubwa na kakuvalia dera au kigauni cha ujiuji chepesi tena refu kumzidi alafu kalibebea kwa mbele na mkono mmoja ila unakuta hana akili ya maisha kabisa ...
Back
Top Bottom