Aiseeh!
Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima.
Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika.
Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina...
Kupambana na wizi wa akaunti za mitandao ya kijamii kunahitaji tahadhari na mbinu za kiusalama. Hapa kuna njia za kuimarisha usalama wa akaunti zako:
1. Tumia nywila imara: Hakikisha nywila yako ni ndefu, ngumu na inachanganya herufi kubwa, ndogo, namba, na alama maalum. Epuka kutumia maneno...
Enzi zile za kukaa darasani, ukisikiliza mwalimu kwa saa kadhaa huku ukipiga miayo, zinaelekea ukingoni! Teknolojia imefanya mambo kuwa rahisi sana, na sasa unaweza kujifunza chochote unachotaka kwa kubofya tu simu yako au kompyuta. YouTube, Udemy, Coursera, hata TikTok zimekuwa madarasa mapya...
Wapo wanaoamini kuwa Serikali inaogofya na kuendeshwa na posts za wanaharakati wa mitandaoni. Wapuuzi hawa wanaamini kuwa wakipost tu Serikali inahamaki na kuchukua hatua.
Bado wanajiaminisha kuwa posts zao tu zinaamsha hisia za wananchi na jamii ya kimataifa. Wamelekewa hivyo na wameamini...
Jamii yeyote ile yenye heshima na maendeleo lazima iwe na sheria.
Hata ukiona watoto wa jirani yako wanaheshima na maendeleo jua kuna sheria zinawaongoza katika familia ile na sio maombi ya kanisani wala msikitini.
KInachoendelea katika social media sio kigeni kwa kila mtanzania. Kuna mazuri...
Familia ya Kamishna Msaidizi wa Polisi (SSP), Fatuma Kigondo imesema inafikiria kufungua mashtaka dhidi ya wote waliosambaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa ndugu yao amehusika kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, Dar es Salaam.
Akiandika katika ukurasa...
DIGITALI: MTANDAO WA X KUFUNGA OFISI ZAKE BRAZIL
Mtandao wa X umedai kuwa Jaji Alexandre de Moraes wa Mahakama Kuu ya Brazil alimtishia mwakilishi wa X nchini humo akamatwe endapo hatatekeleza amri ya kudhibiti mtandao huo.
Moraes ameagiza akaunti za X anazoshutumu kwa kusambaza taarifa za...
JINSI YA KUJILINDA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
1. Sio kila taarifa ni ya kushiriki katika Mitandao ya Kijamii, angalia umuhimu wa taarifa unayoishiriki. Internet haisahau
2. Kuwa makini na kuweka wazi eneo ulilopo na ikiwa ni muhimu kuweka eneo, fanya hivyo ukiwa haupo eneo husika
3. Epuka...
Umoja wa Ulaya unafikiria kuyabana makampuni yanayotoa huduma za mitandao ya kijamii kutafuta namna ya kuwabana watumiaji wanoitumia kueneza habari za uzushi na uvumi unao hatarisha usalama wa jamii.
Many social media companies have invested heavily in content moderation over the years. But the...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema Binti anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai, hajafa kama ambayo imeripotiwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema tayari Jeshi hilo linamshikilia Mtu...
Unaweza kuingia sehemu za kupumzikia wageni mathalani hotelini, guest house au lodge usikute box au pakiti ya kondomu mezani, hata sabuni siku hizi mpaka uombe kwa muhudumu tofauti na kipindi cha nyuma vyote unavikuta chumbani.
Na wakati huo mtu anaweza kuwa na mchepuko mmoja tu Lakini anatumia...
Leo tuachane na mambo ya kubeti na kamala nyinginezo za mtandaoni zinavyopoteza nguvu kazi kubwa ya taifa na kuifanya iwe tegemezi.
Tuuangalie mtandao wa tiktok nao pia unachangia pakubwa kuongeza idadi ya vijana wanaopatwa ulemavu wa akili haswa dada zetu.
Wadada wengi wanashindwa kufanya...
Naitwa Mturutumbi, na leo nataka kuchambua athari za kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii miongoni mwa vijana wa kisasa. Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya vijana, lakini matumizi yake kupita kiasi yanaweza kuwa na athari kubwa katika nyanja mbalimbali za maisha...
Mimi nipo chuo kikuu mwaka wa kwanza nasoma Marketing and Public Relations, pia ni DIGITAL MARKETING SPECIALIST.
mambo ya masoko Mtandaoni, kusimamia na kuendesha accounts za mitandao ya kijamii ikiwamo Kutengeneza Matangazo, Contents, graphic design, matangazo ya kulipia, website, na mambo...
Utangulizi
Ukuaji wa tenolojia ya mawasiliano na tehama nchini pamoja na ongezeko kubwa la watumiaji wake unazidi kuleta hofu kubwa kwa jamii juu ya maudhui yasiyofaa yanayopatikana hasa kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu ya kukosa udhibiti, hali ambayo inadhaniwa kupelekea mmomonyoko wa...
Hayakuandaliwa chini ya mwamvuli wa upinzani kama ilivyozoeleka. Hayana kinara wala kiongozi moja muwajibikaji...
Organization na mobilization ya vijana waandamanaji imefanyika na kuchochewa kupitia mitandao ya kijamii tu..
Imepelekea ugumu kwa polisi kubabaika, kwasababu haikuwa rahisi...
Kina Dada zangu na Mama zangu Acheni kushughulika na Mitandao ya Kijamii aka Facebook,TikTok, istagram, Youtube na mengine. Wakati Mume wako anakuwepo nyumbani.Muhudumie Waume zenu kwa kila kitu acha kumtegemea Dada wa kazi aka (House Girl) atawaharibia ndoa zenu shauri zenu.
Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amesema wanaona mijadala yote inayoendelea (kuhusu maoni ya kama mtandao wa X ufungiwe au laah) na kusema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), itatimiza wajibu wake wa kuhakikisha Tanzania na hususani kizazi cha Watoto kipo...
digital rights
freedom of expression
haki za kidigitali
maadili kwa watoto
mitandaoyakijamii
mtandao
mtandao wa x kufungiwa
tcra
uhuru wa kupata taarifa
uhuru wa kutoa maoni
waziri nape
Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza ufanisi, kufikia wateja wengi zaidi, na kuongeza mauzo yao. Makala hii itachunguza jinsi wajasiriamali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.