mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Makamu Mwenyekiti UVCCM Rehema Sombi apingana na Mwenyekiti wake, awataka vijana watumie mitandao yote ya kijamii

    Makamu mwenyekiti wa UVCCM Taifa Rehema Sombi amewataka Vijana kuendelea kutumia mitandao ya kijamii bila kujali ni Mtandao gani Sombi ametoa kauli hiyo mkoani Geita. Ikumbukwe mwenyekiti wa UVCCM Taifa mh Kawaida pamoja na mashehe weiomba serikali iufungie Mtandao wa X yaani twitter Kwako...
  2. J

    Mwenyekiti UVCCM wilaya ya Nyamagana, Peter Begga amesema angekuwa Waziri wa Tehama angeifungia Mitandao ya kijamii ya Instagram na X

    Kichwa Cha thread ndio utashi wa Mwenyekiti wa UVCCM Nyamagana kupitia ukurasa wake wa X Yaani anatangaza Kufungia X kupitia ukurasa wake wa X 😂😂 Ila nimemwelewa ukishafungia X hutaacha itaendelea Kufungia Mitandao mingine yaani ni Sawa na kula Nyama ya mtu 🐼 ====== Mwenyekiti wa CCM (Chama...
  3. Nyendo

    Pre GE2025 UVCCM waitaka Serikali kuifungia X (zamani Tittwer)

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana kama 'tweeter' kwa kuwa mtandao huo kutangaza dhamira ya kuruhusu kupokea maudhui yanayokinzana mila...
  4. Yoyo Zhou

    TikTok “inayotishia usalama wa taifa” yageuka kuwa chombo kizuri cha kushindania uchaguzi nchini Marekani

    Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Marekani, rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump amefungua akaunti ya TikTok, ili kuwavutia wapiga kura vijana, na kufanya maandalizi kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Novemba mwaka huu nchini humo. Kabla ya hapo, Rais wa sasa Joe Biden pia...
  5. olimpio

    Serikali iache double standard mitandao ya kijamii kuhusu maudhui ya ngono

    Mwezi uliopita (May, 2024) kampuni inayomiliki mtandao wa kijamii X zamani Twitter, wametoa notice kuwa sasa ni rasmi maudhui ya kingono/ponographic contents, maudhui ya mapenzi ya jinsia moja yaan LGBTQ yameruhusiwa na watu wanaweza kuanza kujirekodi na kusambaza kwenye mtandao huo. Hoja yangu...
  6. De Rama Msirikale

    SoC04 Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano kuhamasisha kuleta maendeleo nchini kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    **Makala: Matumizi Sahihi ya Mitandao ya Utangulizi Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano vinachukua nafasi muhimu sana katika kuendesha mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Tanzania, kama sehemu ya jamii ya kimataifa, ina nafasi kubwa ya kutumia vyema...
  7. S

    Kwa anayehitaji mtaalam wa mitandao ya kijamii na graphics

    Kama unahitaji huduma zifuatazo nichek 0747787410 kufungua akaunt za biashara mtandaoni, kufanya matangazo mitandaoni, kurekebsha akaunt zenye matatizo na madeni, kusajil jina la biashara, lesen ya biashara na kupata vibali mbalimbali serikalin kama vile TBS, OSHA nk.
  8. Mr Why

    Tuheshimu sana Mitandao ya Kijamii kwasababu uwekezaji wake ni wa gharama kubwa sana

    Ndugu zangu nataka niwambie ukweli kuwa mimi nina ujuzi kubwa juu ya mitandao ya Kijamii na ni mzoefu mkubwa wa mitandao ya kijamii na mara kadhaa nimekuwa nikisaidia badhi ya kampuni kudesign muonekano wa mitandao yao, nafahamu kwa undani kabisa kwanzia muundo na hata uwekezaji wake hivyo basi...
  9. X

    SoC04 Mitandao ya Kijamii Tanzania imulikwe, itumike kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii, irasimishwe

    UTANGULIZI Tanzania mitandao ya kijamii bado inatumika kama sehemu ya watu kutoa mawazo(stress), kupata habari nyepesi na udaku. Bado mitandao haijawa mahali salama sana kwa kizazi cha sasa na cha baadae kama hatutatengeneza mazingira salama kwa ajili ya wakati ujao. Bado haiaminiki, ina kundi...
  10. O

    Msaada jinsi ya kutangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii

    Habari Wana JF, Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni. Ahsanteni 🙏
  11. Gilbert Prudence

    Uhalali wa mashindano katika mitandao ya kijamii

    "Niliwahi kuandika sikushinda na baadae nikaona wametumia mawazo yangu kubuni mambo Yao na Mimi sikufaidika na chochote". Je kuna ukweli wowote? Huyo ni mdau alikuwa anatoa comment katika ukurasa wa jamii forum kuhusu ushiriki wa stories of change.
  12. haszu

    Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
  13. chiembe

    Walioteuliwa na SSH wote wamemshukuru kupitia mitandao ya kijamii, Makonda pekee ndiye kama amegoma kushukuru kwa uteuzi

    Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani. Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
  14. R

    Wanaomwibia Rais Samia ndio wanalipa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumsifia anaupiga mwingi! Anawajua?

    Watu wale wanaoiba mali za umma, watu wale wale ambao makampuni na maeneo yao ya utawala yamejaa ubadhirifu ndio hao hao wanalipia gharama za vipindi kwenye radio na televisheni wamsifie kwamba anaupiga mwingi. Watu wale wale ambao anawatumbua kila siku kwa kushindwa kumsaidia ndio hao hao...
  15. P

    Ukiangalia vizuri mpotoshaji mkubwa ni serikali, kwanini inachukuliwa hatua pale tu mwananchi akipotosha?

    Wakuu kwema? Tumeshudia mara kadhaa wananchi wakichukuliwa hatua kwa makosa ya "Kusambaza taarifa za uongo" au kufanya "Upotoshaji", mfano wa juzi juzi hapa ni yule dada aliyeimba mnatuona manyani "Tanzania inaelekea wapi?" baada ya kuona shtaka la kusababisa uchochezi ni weak shataka likageuka...
  16. Heparin

    SI KWELI Meta yatangaza Mabadiliko ya Sera kwenye Mtandao wa WhatsApp kwa Mawasiliano Binafsi pamoja na Makundi Sogozi kuanzia Machi 22, 2024

  17. figganigga

    Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii

    Mimi katika kuishi kwangu nilijua Waharifu ndo wanadukua Mitandao ya Kijamii kama Facebook, Instagram, twitter, Whatsapp nk, baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar Samweli Shammy kupasua jibu na kuweka wazi kinagaubaka jinsi alivyo dukuliwa nikashangaa sana. Nimeshangaa kusikia...
  18. Melki Wamatukio

    Picha: Huyu ni nani? Mbona amekuwa akitrend sana kwenye mitandao ya kijamii?

    Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani huyu? Ama ana uhusiano gani na matukio kama haya? Ama wanamtumia kwenye issue za huzuni kwa sababu...
  19. Clear37

    Mitandao ya kijamii imekuunganisha na watu gani muhimu waliobadili maisha yako?

    Habari Zenu wadau, natumai mnaendelea kukaza na life popote mlipo. Swali langu ni Moja tu Tangu umeanza kuijua na kuitumia mitandao ya kijamii imekusaidia vipi kuunganisha na watu waliobadili maisha yako?. Natamani kujua waliofanikiwa kupitia mitandao ya kijamii. Sababu watu wa kada zote na...
  20. JanguKamaJangu

    Bosi wa Meta Mark Zuckerberg ameomba radhi kwa familia ambazo Watoto wao waliathiriwa na Mitandao ya Kijamii

    Mkurugenzi Mtendaji wa Meta, Mark Zuckerberg ameomba msamaha kwa familia zinazosema watoto wao walidhuriwa na mitandao ya kijamii, wakati wa kikao kilichowaka moto katika Bunge la Seneti la Marekani. Bw Zuckerberg - ambaye anaendesha Instagram na Facebook - aliwageukia na kusema "hakuna mtu...
Back
Top Bottom