Habari ya makamu kujiuzulu ipostiwe kwenye mitandao ya kijamii?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Wakuu,
Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media?

Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa.

Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and see. Oct29 unforgettable.
 
Late is not waiting
 
Kwanini mkuu unashangaa ?

Unajua style ya Ndugai kujiuzulu ?

Hiyo ndio imetumika... Yaani inaandikwa unaambiwa ..haya post mwenyewe...
Pembeni zimekaa AK 47, na uwezekano hata na RPG (Rocket Propelled Granade )

Usicheze na hao watu wanaoitwa Wahuni kwenye System yetu...
 
Imetoka hiyo
 
Hadi chombo cha habari kikubwa itv na milado washaposti hadi bbs pia bado huamini?
 
Siku kadhaa nyuma nafikir ni mdogo wake alitoa taarifa kuwa Whatsaap ya bro imedukuliwa,Lakin acha kupambazuke kwanza ukweli utajulikana.
 
Kwanini mkuu unashangaa ?

Unajua style ya Ndugai kujiuzulu ?

Hiyo ndio imetumika... Yaani inaandikwa unaambiwa ..haya post mwenyewe...
Pembeni zimekaa AK 47, na uwezekano hata na RPG (Rocket Propelled Granade )

Usicheze na hao watu wanaoitwa Wahuni kwenye System yetu...
Nasikia kuna mgombea mmoja alikuwa hajui chochote kinachoendelea mara ghafla anaona post kwa Milard Ayo eti "amejitoa kwenye kinyang'anyiro" ndio ikawa imesha hivyo.
 
Kwanini mkuu unashangaa ?

Unajua style ya Ndugai kujiuzulu ?

Hiyo ndio imetumika... Yaani inaandikwa unaambiwa ..haya post mwenyewe...
Pembeni zimekaa AK 47, na uwezekano hata na RPG (Rocket Propelled Granade )

Usicheze na hao watu wanaoitwa Wahuni kwenye System yetu...

😢😢😢
 
Back
Top Bottom