Waitara: Nimeona kwenye mitandao sherehe za wasagaji, Je, serikali ilitoa kibali sherehe ifanyike Dar es Salaam?

Waitara: Nimeona kwenye mitandao sherehe za wasagaji, Je, serikali ilitoa kibali sherehe ifanyike Dar es Salaam?

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ameibua swali bungeni leo Novemba 2, 2026, akitaka kujua kama serikali ilitoa kibali cha kufanyika kwa sherehe za wasagaji zilizoripotiwa kwenye mitandao ya kijamii jijini Dar es Salaam, na ni hatua gani zinachukuliwa kudhibiti tabia hizo.

"Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kilele cha sherehe za wasagaji na mambo yanayoendelea na hayo. Je, serikali ilitoa kibali ili sherehe ifanyike Dar es Salaam? Na kama haikutoa inachukua hatua gani kuondoa uchafu, tabia mbaya, maneno ya kashfa yanayosambaa kwenye mtandao wa kijamii katika nchi hii?."

Sijawahi kusikia wakijadili kuhusu mauaji ya maelfu ya watu na ufisadi wa mapesa ya nchi.

Lakini kwenye suala la vinyeo wako vizuri haswa, kila mtu anatoa maoni kwa mbwembwe.

Bunge la vinyeo na mada ndogo ndogo.
 
Kiranga Mbona hua unatetea vitu vya ajabu sana? Kukaa Majuu ndiyo kumekufanya umekua hovyo hivi?
Kitu cha ajabu gani natetea?

Ajabu ni nini?

Unawezaje kutenganisha hiki kitu cha ajabu kweli, na hiki si cha ajabu, pengine unakiona cha ajabu kwa ujinga wako tu?

Ushawahi kufikiria kuwa kuna vitu unaviona vya ajabu kwa sababu wewe ni mjinga wa mambo fulani tu, ila hivyo vitu si vya ajabu kama unavyofikiri wewe kwa ujinga wako?
 
Tetezi la mashoga na wasagaji
Kuna uwezekano na wewe ni shoga kiranga
 
Sijawahi kusikia wakijadili kuhusu mauaji ya maelfu ya watu na ufisadi wa mapesa ya nchi.

Lakini kwenye suala la vinyeo wako vizuri haswa, kila mtu anatoa maoni kwa mbwembwe.

Bunge la vinyeo na mada ndogo ndogo.

ujawai sikia vip akati mpaka tume iliundwa ..sema hutaki kusikia alafu kingine jinai haihalalishi jinai..
 
Sijawahi kuiona hilo Tangazo, ila Alogarithim ya social media ni kukupa kitu unachokipenda, mzee anaonekana alikua na interest..
 
Back
Top Bottom