Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Moderater naomba weka kichwa Cha habari uzuri
Umeshawahi kupata stress kisa mitandao ya kijamii Kwa mda Gani? Unaacha simu-phone off
To much it's harmful
Kitu gani? Ukikizidisha hakina madhara, nambie sex, au kula matunda sana
Sasa basi mda gani? Unaacha simu Yako na kuwa kawaida bila simu au labda uwe na simu ndogo tu , Kwa mawasiliano ya kawaida , ieleweke hata wafanya biashara wanahitaji kupumzika masaa fulani bila kudeal na inshu za biashara Kwa siku Ili kuji-ristati
Binafsi naachaga sim na naenda zangu uwanjani kucheza mpira ntatumia masaa manne, wewe unaitumia mda gani? Kukaa mbali na sim
Phone off