bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Eli Cohen

    Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  2. jangoma

    Huu mchezo wa kuzabana makofi na bongo upo?

    Aisee huu mchezo sio poa yani unazabwa kofi mpk unaskia marue marue. Kibongo bongo mechi zake zinachezewa wapi?
  3. Beira Boy

    Kumbe mzee wa bongo bahati mbaya mwanetu Young D alihamia USA!

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU Katika kitu ambacho nilikuwa sijui ni kuwa kama mwanetu Young D mzee wa bongo bahati mbaya kuwa alihamia Marekani Leo ndo nimejua MWENYEZI MUNGU aendelee kuwabariki hawa vijana katika ridhiki zao na mapambano yao ya kila siku AMINA tuendelee...
  4. haszu

    Hii ndio beat #1 bora ya bongo fleva ya muda wote

    Huwa inanikumbusha mbali sana, kipindi twaandika mwaka katikati kuna double zero. Na cha ajabu sikua namjua msanii na bahati mbaya kumbe alisha fariki. This is not a beat this is memory.
  5. W

    Hit za mwisho walizotoa malegend wa bongo flava, baada ya hapo walirudi level za kawaida na wengine hawakuvuma tena

    Inspector Haroun - Asali wa Moyo Juma Nature - Dance with Me Professor Jay - kipi sijasikia Dully Sykes - Bongo fleva Ray C - Unanimaliza Feruz - Ndege mtini Mwana Fa - Mfalme Ngwea (Rip) - Nipeni dili Chege na Temba - mkono moja Marlaw - Pii pii AY - Leo remix Mr Blue - Baki na mimi TID na...
  6. Waufukweni

    Bernard Morrison: Nimekuja Bongo kujitafuta sio kupata Hela – Muhimu ni kuibakisha KenGold

    Hiki Kiswahili cha BM3 🫰🏽 Mchezaji nyota Bernard Morrison kwenye mahojiano na Azam TV asema amekuja Bongo kujitafuta sio kupata hela, kwani ametoka kupona majeraha sio rahisi kurudi moja kwa moja kwenye timu zenye presha (kubwa) – Muhimu ni kuipambania KenGold kuibakisha Ligi Kuu ya NBC.
  7. Yoda

    Ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu(Dementia) ni ugonjwa adimu Tanzania?

    Huu ugongwa wa kupoteza kumbukumbu(dementia) ni common sana kwa watu hasa wazee kuugua huko Marekani na Ulaya. Kwa hapa bongo ni nadra sana kukutana na mtu anayegua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia). Maisha yangu yote nimewahi kumuona mzee mmoja tu akiugua huu ugonjwa, tena alikuwa...
  8. kipara kipya

    Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

    Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
  9. GadoTz

    Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
  10. Faana

    Tuchemshe bongo kidogo

  11. Mashamba Makubwa Nalima

    Kama USA tu, celebrity endorsement imefikia ukomo hata bongo

    Haifanyi kazi tena. Watu wanatumia akili sasa hivi. hatubebeki kiselasela Sio tu huko mjini hata hapa Nanjirinji. Uzi tayari Ngoja nikabet
  12. B M F ICONIC

    Wa Bongo Wengi hawana Elimu kuhusiana na " YAHOO BOYZ" wa Naija

    Wafahamu Yahoo Boyz vijana wa Nigeria ni wakina nani? Wapo tayari kupata pesa kwa gharama yyte ile. Pitia thread hio ya X kuwafahamu https://twitter.com/yrnskypper/status/1858751626460193176?t=AJcYLdCwbIY70Va7NChcrw&s=19 https://www.instagram.com/reel/DEjhYFMqAku/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
  13. JOHNGERVAS

    Chemsha Bongo: Mabingwa wa Mathematics

    Hebu tusaidie mabingwa hapo hiyo ksh 10 imetoka wapi?
  14. Beira Boy

    John Pambalu ni mchungaji au mwanasiasa? Abarikiwe sana ana nondo sijapata kuona? Sion wa kumfananisha naye bongo

    Amani iwe nanyi waungwana Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa? Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye Kijana ana nondo ni balaa Kamchana chana Mbowe kama karatasi Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
  15. Mohamed Said

    BONGO TV na mapinduzi sehemu ya kwanza

  16. masterpeace

    Generation ya bongo movie mjini YouTube

    Wadau. ebu tuzungumzie hii generation ya bongo movie ambao wao wamejikita kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube
  17. Waufukweni

    Majizzo ataja Playlist ya nyimbo zake bora mwaka 2024, Komasava namba moja Bongo

    Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi. Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa...
  18. B

    Kuna muda Bongo Star Search kweli inapata wapi?

    Just imagine mwana wa mai 🤣🤣😆
  19. Mr Why

    Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii

    Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
  20. Ricky Blair

    Tesla Yatua Bongo

    Haya vijana changamkeni Tesla ishatua Mlimani city jameni😂😂😂
Back
Top Bottom