Yani bongo Tajiri akiongea mahali au akitoa ushauri wake hata kama maneno yake ni ya kawaida sana tu anaonekana kama mwanafilosofia au mwanauzoni hivi,
Mfano mwingine tangu yule tajiri wa timu fulani anayesemekana hajui kuzungumza aje na msemo wa "Yanga bingwa" sasa kila mtu mjini ni Yanga...
Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia,
Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia,
Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
Baadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji.
Kuna majina ya kisanii ukiyasikia yaani haya "sound", japo mwenye jina anaweza kuwa msanii mzuri. Kutengeneza jina zuri ni sawa na kutengeneza brand name ya kampuni au "logo".
Nitatoa mifano:
1. Majina...
LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU...
Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection ya Malkia wa Bongofleva, Dada mwenye ukuu wake kwenye dunia ya Bongofleva Lady JayDee ambaye leo...
WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA"
Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na
ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa
akiimba wimbo wake kwa kiitikio cha "Piga Makofi" ambao aliubadilisha wa Run-D.M.C. Clap Your Hands, lakini hajaurekodi.
Kwa...
Tuchekeche vichwa kidogo
Muuza nguo anapewa nguo za kuuza kwa makubaliano ya kurejesha pesa ya nguo atazoweza kuuza, kapata mtaji wa kuanza kununua nguo zake, hivyo kuna baadhi ya nguo anaendelea kupewa na kiwanda kwa utaratibu ule ule wa kurejesha mauzo na nyingine ananunua kwa pesa yake...
Habari Tanzania,
Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa kuwa wahitimu wa taifa la Tanzania.
Mnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya...
Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu
Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza
1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿
2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿
3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz 🇹🇿 na inazungumzwa Africa na dunia kote
4. Mlima mrefu kuliko yote Africa...
Mchungaji wa Neno Evangelism Centre James Ng'ang'a atupilia mbali pesa zilizokusanywa kama sadaka kutoka kwa waumini wake wakati wa ibada.
Katika video iliyoshirikiwa na Qare Jane kwenye TikTok, mchungaji huyo alionekana akiiangalia kwa dharau sadaka hiyo. Wakenya walioshuhudia video hiyo...
Najua humu ndani kuna wasanii kibao tu. Kazi hiyo hapo.
Sijaimix wala kufanya mastering. Project yake ipo na final project pia.
Nicheki PM kama upo interested.
Katika jamii yoyote huwa kuna utofauti wa vipato kiuchumi kwa makundi mbalimbali ya watu.
Sio jambo jipya kwamba kote duniani na hata hata bongo Wapo watu masikini kabisa, wa kipato cha kawaida, kati, matajiri na matajiri waliopitiliza. Jipya la sasa ni ibada kwa matajiri, watu wamekuwa...
Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho...
Wasalaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia...
Kwa mtazamo wangu hivi ni vitu navyoamini vinawekwa siri lakini vipo.
Kala Pina alikuwa anamgwaya Dudu baya
Mr Nice hakufulia kabisa, Bado pesa anazo si haba za kustaafia muziki
Nusu ya wasanii wanavuta weed
Wasanii wengi wa bongo wanaishi kwa pesa za mishe nyingine, ni wachache sana...
Ukiwa Feminists ni shida,
Single mother ni shida,
Ukiomba pesa malalamiko
Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.
Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo
Ukivaa nguo za kubana sio wife material
Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa.
Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.