Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari.
Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau...
Habari zenu wana jamvi, hivi ni kwa nini biashara za bongo hasa hasa zinazomilikiwa na watz weusi huwa haivuki kizazi zaidi ya kimoja?
Yaani unakuta anapokufa muanzishaji wa ile biashara basi umaskini unapiga hodi kwenye hiyo nyumba ,,kwa ni hatuwezi kurithisha biashara kutoka kizazi kimoja...
Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini.
Watu wanalala na kuamka wakizungumza mpira, wanashinda wakizungumza mpira.
Jana mchana kwenye East Africa radio kuna kundi la wana...
Kampuni ya Home Box Office (HBO) ya Marekani kuwalipa wasanii, Soggy Doggy na Dataz, kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa kutumia wimbo wao "Sikutaki Tena" katika filamu ya "Sometimes In April" bila makubaliano.
Hukumu hii imetolewa Julai 26, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kanda ya Dar es...
Jaribu kufikiria unafanya malipo kwa hela nzuri na safi afu unaturudishiwa chenji kama hii.
Kwa Mgeni kutoka mataifa mengine anaweza kuona umemdharau kwa kumpa uchafu yaani Takataka 🚮
Kuna hii mechi ya preseason ya Simba Sc huko Misri.
Huko Youtube kuna Channels za hapa Bongo zinatangaza mechi live. Wale jamaa wanatangaza mechi as if kweli wao wanaitazama. Kitu ambacho sio kweli.
Ukiwasikiliza wachezaji wanaowataja ni wa Simba Sc tu dakika zote, kama vile Simba inacheza...
Habari zenu. Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Mnawezq nitajia magari yanayochukiwa na wabongo kwa vigezi kwamba hawayataki kutanunua tena kwa vigezi kuwa yanakula sana mafuta, engines zake mbovu zinakuwa na ubovu mara kwa mara, gharama kuyatunza na body lake jepesi ka karatasi
AsAnTe
Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka yanafungwa kila kukicha mtu hawezi lipa hata elf 50 ya frem, kufilisiwa nyumba za urithi kwa kushindwa kulipa...
Hivi ni nini huwasumbua hawa wafanyabiashara wa bongo ambao pia wanajihusisha na kutuma mizigo kwa wateja wa mikoani?
Kabla hujawatumia hela wanakuwa na customer care nzuri saana. Wanajibu message kwa wakati, wanazielezea bidhaa zao vizuri hadi mteja unaridhika na kujisemea moyoni, hivi ndivyo...
Habarini wakuu,
Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa.
"Unadhani niwapeke ako
Kumbe wengine wameshaweka kambi
Kakupendea macho
Wapo wengine kawapendea rangi
'Ye ni gari la dampo
Hachagui taka dereva mpe ganji
Wakubadili...
Kariakoo haihamisishi ukuaji wa viwanda vya ndani, Kariakoo ni Dumping site ambako asilimia 100 ya products zinazo uzwa pale ni Made in nje.
Ni wajinga pekee ndio wanaoweza kuamini kwamba soko lenye asilimia 100 ya bidhaa za nje ya nchi lina umuhimu sana kwa uchumi wa nchi kuliko, Kilimo...
Kwanini Bongo Flava Ni Ngumu Kufika Mbali Kama Afrobeats, Amapiano au AfroHouse
Tusipoteze muda twende kwenye points
* WAANDJI (Producers)
Hawa jamaa wamekosa ubunifu. Wanasubiri dunia ilete style mpya wao ndo waje kufanya blending kwneye Bongoflva. Wakati mwingine hawafanyi blending wanakopy...
Unatembea kwenye barabara isiyo na mwisho, na una kioo kimoja mikononi mwako. Ukitazama kwenye kioo hicho, unaona kitu ambacho kila mtu huona lakini hakuna yeyote anayeweza kukiona. Je, ni kitu gani hicho?
Hope nyote wazima, wa afya tele!
Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu!
Hapo nyuma kulikua na mechi za ku Qualify kombe la dunia, na mashindano mengine, na nadhani wengi wenu mliangalia mechi hizo, ila baada ya mechi kuisha sijaona timu kubwa kama...
Mashuhuda wa ajali wanasema kwamba, eneo ajali ilipotokea ni hatari na huenda kukawa na jini ambaye anasababisha ajali zitokee mara kwa mara. Wanadai kwamba, inawezekana jini huyo ndio sababu ya kutokea kwa ajali hii kubwa na hatari, ajari iliyoondoa roho za watu 65 huku watoto chini ya miaka 18...
Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu
"Gari ya muhindi, dukani na nyumbani tu"
"Gari ya mdada"
"Gari ya baba mchugaji hii"
"Gari ya mrembo wa...
Marekani / ulaya / Australia / Canada yani kwa ufupi nchi za wazungu kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafanya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo mfano kazi za kwenye ma godown malipo elf 40 kwa saa, Tatizo la wenzetu wamekuwa...
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha magumu sana, can u imagine mtu ameajiriwa lakini bado analalamika maisha magumu.
Hii inaonesha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.