bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Eli Cohen

    Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

    1: Sos B - Kukuru kakara. sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania. 2: Picko - Kikongwe 3: JI -Kidato kimoja 4: Top C -Lofa 5: C-sir madini - Kifungo huru Tukumbushane nyingine
  2. Eli Cohen

    Nafikiri Hawa Rappers 20 wa Bongo ndio bora kwa muda wote

    20: Roma Mkatoliki 19: King Crazy GK 18: Inspector Haroun/Babu 17: Chid Benz 16: Joh Makini 15: Langa 14: AY/MASTA 13: Mwana FA/Binamu 12: Nick Mbishi 11: Faza Nelly 10: Ngwair/Mangwair/CowBama 9: Jay Moe/Mo Famous 8: Solo Thang 7: Balozi Do La Soul 6: KBC 5: Saigon 4: Afande...
  3. chiziwafursa

    Ni changamoto zipi zinazikumba car wash za hapa bongo?

    Kuna jamaa aliniuliza kuna changamoto gani au kero zinakumbananazo car wash za hapa bongo kwa maana yeye alitaka siku moja aanzishe automated car wash kama hio hapo chini https://youtube.com/shorts/gp6_tX0no50?si=VHD5CWh6KZ_epVth Nikaona isiwe tabu wacha niulize huku JF labda kuna watu...
  4. Eli Cohen

    Nafikiri hizi nyimbo 20 za rap ya Bongo ndizo bora kwa muda wote

    20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam 19: FA - Bado Nipo Nipo 18: Fid Q - Propaganda 17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio 16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee 15: AY - Raha Tu 14: Professor J - Hapo Sawa 13: Balozi -Kwenye Chati 12: Sugu - Wananiita Sugu 11: Professor J - Nikusaidiaje 10...
  5. M

    Kikosi changu cha kwanza msimu unaomalizika kesho bongo

    1. Diarra kipa wa Yanga 2. Kevin Kijir wa Singida 3.Tshabalala Simba 4.Ibrahim Bacca Yanga 5. Che Fondoh Malone 6.Kevin Nashon Ihefu 7.Kibu Dennis Simba 8. Najim Magulu Tabora United 9.Feitoto azam 10.Aziz Ki 11.Kipre Junior
  6. W

    Huwezi kuizungumzia Bongo Fleva na kuwaacha hawa!

    Katika maeneo yote duniani, kuna watu ambao wanafanya kazi kubwa nyuma ya wahusika wakuu wa tasnia fulani na kuwa nguo kubwa ya mafanikio. Hawa kwa lugha ya Kiingereza wanaitwa 'masterminders'. Ni watu ambao wanafanya kazi kubwa sana kusongesha gurudumu la tasnia husika. Tukija kwenye tasnia ya...
  7. striker mandingo

    Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?

    Nimepata kuwasikia baadhi wa mashabiki wengi wa timu tofauti tofauti wengine wakiwa miongoni mwa mashabiki wa Simba wengine nje ya Simba na baadhi ya wachambuzi wkisema TFF haopo sahihi kwenye uwamuzi wa kuipeleka mechi ya Simba na KMC kuchezwa Arusha kutokana na muda wa utoaji taarifa. Je, kuna...
  8. GENTAMYCINE

    Chukua hii ya Usajili ujao wa Bongo na itunzeni tafadhali

    Huenda Mlevi wa upande Mmoja akamfuata Rafiki yake Mlevi HATARI wa upande mwingine au ikawa ni kinyume chake.
  9. Kaka yake shetani

    Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

    Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
  10. OCCID Dominik

    Kwanini filamu za bongo hazina mvuto kama miaka ya nyuma wakati wa Kanumba?

    Wakuu hongera kwa wikiendi ya leo glories and praise to the LORD: Wakuu kuna jambo linanitatiza kitambo kidogo na sijawahi kuona kama limewahiletwa mezani kujadiliwa,ama mara nyingi mitaani ndio utasikia swala hili na kila mmoja analizungumzia ila chanzo haswa hakijulikani. Wakuu ni kwann...
  11. Brave_Idiot

    Nikitengeneza kozi inayohusiana na nini ? Naweza uza bongo

    Nilikua na kaplatform kangu ka kozi, hivyo nilikua nauliza nifundishe kuhusu nini angalau naweza Pata wateja kwa hili soko la bongo na pia budget yabei ikaaje ? Naombeni maoni yenu
  12. Engager

    Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

    Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
  13. Protector

    Nini uhusiano wa Bongo FM na TBC

    Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja. Nimevumilia sana ila nimeshindwa, napenda kujua uhusiano ulipo kati ya Bongo FM na TBC kwa sababu mic ya Bongo FM zina stika ya TBC. Je, ni tawi la TBC au ni kampuni binafsi TBC ana hisa zake? Mwenye kujua anijuze
  14. Mkalukungone mwamba

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
  15. sonofobia

    Nipeni list ya bongo piano za nguvu niweke kwenye playlist yangu mpya

    Nipe suggestion ya bongo piano nzuri za kuimba mfano wa single again, sumu ya kiba, naringa ya zuchu za hivyo nazipenda saaaana. Staki za makelele
  16. W

    Miaka 12 ya Bongo Movie bila uwepo wa Steven Kanumba

    Steven Charles Kanumba alizaliwa 8 Januari, 1984. Alikuwa miongoni mwa waigizaji maarufu nchini Tanzania. Aliingiza katika tasnia ya uigizaji miaka ya 90 na na kujizoelea umaarufu mwaka 2002 baada ya kujiunga na kundi la Kaole Sanaa Group. Aliwahi kupewa tuzo ya mwigizaji bora wa kiume nchini...
  17. Mabula marko

    SoC04 Silikoni Bongo Mkombozi wa Bunifu Tanzania, ili kuchochewa ongezeko la ajira katika nchi yetu

    SILIKONI BONGO MKOMBOZI WA BUNIFU TANZANIA, ILI KUCHOCHEA ONGEZEKO LA AJIRA KATIKA NCHI YETU Utangulizi Ukitazama picha hapo juu wazo la uumbaji wa ulimwengu kama ambavyo maandiko matakatifu hutueleza linakuijia kichwani, lakini vile vile ukiendelea kuangalia vizuri utaona nembo za bunifu...
  18. T

    Wapi nitapata Virtual Reality kwa hapa Bongo? Mimi ni mdau sana wa hizi kitu

    wadau mnaopenda kutumia technology mimi ni mpenzi sana wa Technology. Nlikuwa na VR moja mwaka 2019 akaja mtu akaomba na amekuwa mgumu kurudisha nimeona tu nitafute nyingine. Ile ya kwanza nilinunua Dubai. Now natafuta kwa hapa Dar. Nitapata wapi? Nahitaji ambayo itakuwa compatible na android...
  19. Kichwamoto

    Ukweli Usemwe Ali Kiba hajawahi kuwa na Enzi ya Ufalme kwenye Bongo Flavor sana sana Amedumu kwenye Mziki wa Bongo tu

    Kulikuwa na wafalme kama hawa 1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita 2. Professor J 3. JUMA Nature 4. Inspector Haroun 5. Ferouz 6. Mr. Nice 7. Mr. Blue 8. Mangwea 9. Afande Selle 10. 20 Percent 11. Fid Q 12. G.Nako na Clue yake yote 13. Dully Sikes (Huyu ndio Mr. Bongo Flavor) 14...
  20. Lycaon pictus

    Bongo usijaribu kukata tiketi VIP, utatapeliwa

    Wabongo huwa hawajali kumhudumia mtu. Ukiisha walipa imetoka hiyo. Juzi kati Yanga walikuwa na mechi watu waliingia bure na VIP walilipia. Watu wa VIP kufika uwanjani wanaambiwa siti za VIP zimejaa, hawataweza kuingia. Jana Cheka Tu walikuwa na show yao mlimani siti. VIP 40k regula 20K. Kama...
Back
Top Bottom