bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Ncha Kali

    Kwa Tanzania, wachekeshaji wengi wameenda shule kuliko waimbaji na waigizaji

    Ukiachana na 'wadudu', wachekeshaji wengi wameenda shule. Hii tasnia imeonekana kustawi vema miaka ya hivi karibuni. Ni katika kutelekeza kaulimbiu ya Serikali yetu ya kuwataka wasomi wajiajiri. Wasomi wetu baada ya kukosa michongo ya maana wameangukia kwenye vichekesho, wengine wakienda...
  2. kimsboy

    Nusu ya wasanii wa Bongo fleva ni mashoga asema Chidy Benzi

    Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga" Chidy benz angetaja list kabisa Video hii hapa👇🏻 https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
  3. Nifah

    Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

    Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezwa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezwa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikita zaidi kwenye tasnia ya burudani, Joseph 'Joe' Kusaga yuko mbioni kuja na App itakayokuwa katika mtindo unaoshabihiana na App...
  4. B

    No rasmi sasa Lavalava ndio king wa Piano bongo hii

    Mie si mpenzi wa WCB lakini ukweli usemwe toka jamaa ameanza kutoa amapiano zote zimehit kuliko kawaida. Hakuna msanii anaeweza kutoa ngoma back to back kama alivyofanya jamaa kuanzia Tajiri,Tunakikao,beer nyama, Sawa na sasa Kibango inayosumbua mtaani. Myonge myongeni lakini haki yake mpeni.
  5. A

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
  6. Afisa Mteule Drj 2

    Kuna Bongo Movie moja naitafuta nimeisahau jina

    Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka kahaba nadhani baada ya maisha kuwa magumu. Halafu nyingine iliwahi kuonyeshwa tbc kuna watoto mama...
  7. kipara kipya

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga. Wengi wasichokijua nyuma ya pazia...
  8. K

    Hivi wanaofanya mashirika ya UN kama UNHCR, WFP hapa bongo huwa wanakatwa kodi na NSSF?

    Hivi ukifanya kazi UN kama WFO na UNHCR hivi unakatwa Payee na NSSF? Asante
  9. JanguKamaJangu

    Tuchemshe Bongo kidogo, huyu mchezaji ni nani?

    Je, Huyu Mchezaji ni nani? Ameshinda Ballon d'Or Copa America La Liga Copa del Rey Kombe la Dunia Klabu Bingwa Dunia Mfungaji Bora World Cup Mfungaji Bora Ulaya Mchezaji Bora Ulaya Amecheza Klabu 4 Kubwa Ulaya Pamoja na mafanikio yote hayo, Mchezaji huyu hajawahi kushinda Taji la Ligi ya...
  10. MK254

    Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza..... https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
  11. Superfly

    Tushirikishane Beats (instrumentals) za Bongo Flava

    Habari zenu wanajukwaa? Hii ni kwa wale wapenzi wanaopenda kusikiliza beats mbalimbali za ngoma kali.. Beats nyingi ambazo zipo mtandaoni ni za ngoma za nje ya Tanzania tu, Za TZ ni chache sana japo kuna ngoma kali zinatengenezwa bongo na zina beats kali sana Hivyo basi, Kwa wake wapenzi wa...
  12. ndege JOHN

    Pampers na boxer zimeanza kutumika miaka gani hapa Bongo?

    Kichwa cha Habari kinajitosheleza. Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
  13. DR Mambo Jambo

    CHEMSHA BONGO: Watakaopata wana IQ zaidi ya 100, Kwa kutumia Hints Jibu swali kwa mtiriko husika

    Kwa kutumia Hints Zilizotolewa Pangilia Code (Paswords) sahihi huku zikiwa katika Mtiriko Sahihi.. Hints chini zitakuwezesha kujua Numeric Lock hapa chini inapangiliwaje na Ina namba gan?
  14. Frank Wanjiru

    Mwanasheria wa Yanga ashangazwa na mambo yanayoendelea soka la Bongo

    Tangu nimeingia kwenye mpira wa Tanzania, kitu ambacho nimekua sifurahishwi nacho ni kwamba Yanga ikiwa na jambo flani ikaenda kwenye taasisi yeyote hapa nchini, taasisi hiyo itapeleka jambo ambalo mnataka kufanya upande wa pili eti isionekane inapendelea upande mmoja. Nina mifano hai, Yanga...
  15. DR Mambo Jambo

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  16. DR Mambo Jambo

    CHEMSHA BONGO: Nina Uhakika watakaopata Hawatazidi hata Kumi, "KIPIMO CHA IQ"

    ☆☆Tupunguze Stress kwanza ¤☆☆☆ Angalia Video kwa makini sana Na ukipata Jibu niambie hapo Chini hiki ni kipimo cha IQ na utambuzi wa haraka na ueleze umepataje jibu Kila Nikikumbuka Jibu la Hilo swali lilivyopatikana Namuangalia Huyo mzee nacheka Sana maana Alivyoona wenzake wamepata ndo...
  17. T

    Unaweza ukawa na PhD ya Bongo na Performance yako ikawa sawa au Chini ya Mtu Mwenye Degree Moja

    Nimefanya kazi na watu watu wenye elimu (academic performance)mbalimbali na uzoefu mbalimbali (working experiences) kwenye fani mbalimbali (faculties). Kwa sasa ninaweza kuthibisha kati ya waliofanya kazi na mimi basi wale waliokuwa na PhDs walikuwa na ufahamu na ufanisi mzuri (competency and...
  18. Rayvanny wa jamiiForums

    Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia amerogwa huyo siyo akili zake

    Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia ndugu na majirani wakisema amerogwa huyo siyo akili zake
  19. Cecil J

    Concious Lyrics za BONGO HIP HOP

    ...
  20. Cecil J

    Ligi ya Tanzania inakuzwa na watu wa nje, viwango vya wachezaji wetu (timu ya Taifa na vilabu) bado

    ....
Back
Top Bottom