Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii
Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya.
Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya momba, Mathew Chikoti, akinyeshewa na mvua wakati wa ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Naming'ongo, na kuagiza mhandisi kuhakikisha ujenzi wa shule hiyo unakamilika haraka.
Ziara hiyo ilikuwa chini ya kamati ya fedha, uongozi, na...
Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku
Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.
Upi utabiri wako wa mechi hiyo?
===========...
afcon
baada
bongo
goli
hamasa
hesabu
ivory coast
kamati
kichapo
kupiga
kutoka
kwanza
matapeli
morocco
mwarabu
pesa
tanzania
tayari
uzalendo
video
vidole
vipi
watanzania
zake
zao
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni.
Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka...
Hivi hawa hufanyaje hizi tafiti zao. Maana navyojua sio rahisi kufanya utafiti hapa bongo hasa ukizingatia hatuna miundombinu rafiki. Hatuna uwekezaji wala wataalamu wanaoweza kufanya hizi zaidi ya ku dowload tafiti za watu wa nje huko. Kwa nini tunaziita tafiti ile hali ni copy na ku paste.
Kila mtu anawaza upigaji tu, yaani vichwa vimejaa ni namna gani fursa ije ili mtu apige.
Huko kwenye ofisi za umma pamejaa mi-ungu watu, kuanzia mfagizi hadi ma-boss!
Badala ya kufanya kazi, watu wamejaa majungu, kuoneana wivu na kuchongeana.
Watu wanafiki kupitiliza. Usoni wanakuchekea kumbe...
Huyu Bwana licha ya kukabiliwa na tuhuma nyingi za ufisadi, kitu pekee tunachoweza kumshukuru ni kauli yake juu ya Mapillato wa Bongo kupigiwa simu na kupewa maelekezo watoe judgement za ain gani.
Hakika aliongea ukweli na atakumbukwa sana kwa kauli yake hii na tutakuwa tunaifanyia rejea kila...
Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar.
1. Anthony Mshandete, 2439 citations
https://scholar.google.com/scholar?hl=en&as_sdt=0%2C5&q=mshandete&btnG=
2. Kitila Mkumbo...
Jamani jamani jamani mafundi wa Bongo semeni tu sisi hatujui ila tuna copy na ku paste na kuiga Youtube tu na at least kw cm za androids au pc za windows lakini mi mtu inajijuta mafundi tena pc za Apple which are very complicated;
Yanaomba hela yanakula then pc hawajui kutengeneza unabaki na...
Msanii wa kizazi cha leo na kesho aliyetambulishwa recently na lebo namba moja Africa ya WCB Wasafi.
Kwa jina anaitwa D Voice aka Jini aka London Boy au Temeke Boy.
Huyu ndio future ya muziki wa bongo kwa ujumla. Ndio anaenda kuibeba mabegani industry ya muziki wa bongo ni suala la muda tu...
Mtayarishaji maarufu wa muziki nchini Tanzania ambaye pia ni mchambuzi wa muziki kupitia show ya Bongo Star Search, ndugu Joakim Kimaro, maarufu kama Master J, amekiri kuwa 99% ya wasanii hapa nchini wanatumia bangi ndio maana wanapenda kuimba nyimbo zinazohamasisha ngono, uhalifu na matumizi ya...
Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea
zawadi nyingi na vitu vya thamani sana.
Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden...
Habarini za Muda Huu
Nimeona Tangazo la Kutafuta Hawa Bongo Star Search Nikabaki Nashangaa wanatafuta Comedian au Nini?
Yaani Watu wanaoonyeshwa Kwenye Tangazo ni Wachekeshaji na Watu wanashindwa Kuimba Na Waliovaa Hovyo Hovyo Tu
Sasa Badala ya Kuwaonyesha Watu wanaoimba Vizuri ili Tuone...
Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji.
Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia.
Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi...
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, ndivyo unavyoweza kusema. Nipo kwenye basi natokea Songea kwenda Mwanza, safari nzima tunasikilizishwa nyimbo na video za kihuni za bongo flava mwanzo mwisho. Baadhi ya nyimbo zinazopigwa humu ni hizi:
1. Kila demu ana matako.
2. Nataka kunya
3. Nitongoze
4...
Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.
Tusipoteze Muda Twende Moja Kwenye Moja Kwenye Majina Yao
1. Abigail Chams - Kazaliwa May 7, 2003
Label : Rockstar Africa
2. Yammi - Kazaliwa May 12, 2002
Label : The African Princess
3. Bruce Africa - March, 2000
Label : I AM Music
4. Cherry - July, 2000
Label : Bxtra Records
5. Anjella...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.