Kuna mwingine amezikinai hela ndogondogo kama Mimi kwa maana bongo tunapeana kwa masimango sana

Kuna mwingine amezikinai hela ndogondogo kama Mimi kwa maana bongo tunapeana kwa masimango sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Wakubwa shikamooni hela zenu zenyewe za madafu bongo ila kuzipata mpaka mgombane mpaka mtu umnyekee mtu umlambe boss viatu.sisemi Nina majivuno wala kiburi ila nimezishika noti zenu na zinaisha haraka..

So, hapa na change plan naenda plan B ambayo NI kutafuta mwanya Fulani nipige hela ndefu kama million 700 hivi ambayo nikajenga mijengo na maduka na ma bus na makila kitu ili niache kusemea semwa mara we mlevi huzingatii maendeleo.maendeleo gani kwa laki 5,kwa million,kwa million 2 hizi.nipeni deal masela.
 
Back
Top Bottom