Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Shalom shalom
Licha ya kuwa na elimu duni wanayotoa pia kupata GPA kubwa na kali imekua anasa kwa vyuo vya serikali Tanzania kuliko hata HAVARD na vyuo vingine vikubwa duniani na sababu kubwa ikiwa sio kwamba wanafundisha sana la hasha bali kuna miungu watu nasio malecturers.
Hata hao wanaoliuza watu GPA yako kubwa umeipata chuo gani, ukijibu sio cha serikali watasema ni GPA ya mchongo lakini kiukwel hizo GPA ndogo za UDSM na vyuo vingine vya serikali hazihusiani na masuala ya academic bali ni mambo ya kutengenezwa na miungu watu waliopo huko.
Kama unaona mm nadanga watu waliosoma nje watakuja kusema hapa.
Mm nmefikisha ujumbe tu