Crystal palace aikosa nafasi ya kushiriki Europa ,Huku Bongo kuna mtu ana mkono katika timu 8

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,348
Reaction score
3,831
IMG-20250712-WA0091.jpg
 
Sheria za UEFA unazijua zinasemaje?
Sheria zinakataza mtu mmoja kuwa na ushawishi wa maamuzi kwenye klabu zaidi ya moja inaposhiriki mashindano ya ngazi moja.
Ishu ya GSM wala haihusiani na hili sakata kwasababu GSM hana maamuzi katika vilabu vingine ( hamiliki timu hizo nane) kwa maana kwenye ushawishi wa maamuzi yupo upande wa Yanga pekee.

Mfano wa GSM upo sawasawa na INEOS ambaye ni mmiliki wa Man united lakini wamekuwa wadhamini wa Tottenham Hotspur. Unajua kwanini Man united na Tottenham Hotspur wanaruhusiwa kushiriki mashindano pamoja, japokuwa mmiliki wa Man united pia anaidhamini Tottenham?
 
Sheria za UEFA unazijua zinasemaje?
Sheria zinakataza mtu mmoja kuwa na ushawishi wa maamuzi kwenye vilabu mashindano.

Ishu ya GSM wala haihusiani na hili sakata kwasababu GSM hana maamuzi katika vilabu vingine ( hamiliki timu hizo nane) kwenye ushawishi wa maamuzi yupo upande wa Yanga pekee.

Mfano wa GSM upo sawasawa na INEOS ambaye ni mmiliki wa Man united lakini wamekuwa wadhamini wa Tottenham Hotspur. Unajua kwanini Man united na Tottenham Hotspur wanaruhusiwa kushiriki mashindano pamoja japokuwa mmiliki wa Man united pia anaidhamini Tottenham?
Unajitete sana uliioyona ile barua ya pamba waliyowaandikia GSM ilikuwa inasemaje au ndio mahaba niue mkienda nje kwenye Caf champions league manadundwa mnakuja kujificha kwenye kivuli cha derby na walece karia hakuna team inasajili kuchukua NBC premier league endeleeni na NBC wenu hvyo hvyo.
 
Man city ana makosa 115 ya ya fedha za mpira, HAJAFANYWA CHOCHOTE

Ila lyoni amepatikana kosa 1 la fedha Za mpira, AMESHUSHWA DARAJA

Double standards is everywhere
Arab money corruption is everywhere
 
Sawa GSM anadhamini timu nane japo hazimiliki. Lakini Simba amegawa points 6 yeye naye anadhaminiwa na GSM ?! Mbona hoja zenu Makolo ni za uwivu wa kike.

Mbaya zaidi kwenye michezo mnataka tuwaige Ulaya. Lakini kwenye siasa mnasema tuna utamaduni wetu. Mbona double standards ?!

Huna akili wala unalolijua
Kiufupi soka letu kivyetu vyetu
 
Unajitete sana uliioyona ile barua ya pamba waliyowaandikia GSM ilikuwa inasemaje au ndio mahaba niue mkienda nje kwenye Caf champions league manadundwa mnakuja kujificha kwenye kivuli cha derby na walece karia hakuna team inasajili kuchukua NBC premier league endeleeni na NBC wenu hvyo hvyo.

Kama umekuja kuzungumza hoja basi tulia acha papara, ngonjera na mipasho kama mtu aliyekosa maarifa.

1) elezea barua ilikuwa inasema nini, usichukulie kila mtu kaisoma hiyo barua
2)Kudundwa kwa Yanga kwenye mashindano ya CAF sijaona ni kipi cha ajabu kwasababu tukienda kwa Fact ni kwamba hata Simba wakati anatafuta mwendelezo wa kufanya vizuri kuna michezo alikuta anadondokea pua kuingia makundi pale alipokutana na UD Songo na Galaxy lakini ilikuwa ni njia ya kujifunza ( hapo nimekurudisha nyuma msimu wa 2018/2019- hadi msimu wa 2024/2025 ambapo Simba ndipo ilipoanza safari ya kujipata katika mashindano ya CAF)

Yanga wao safari yao ilianza rasmi msimu wa 2022/2023 hadi 2024/2025 katika hiyo misimu mitatu wamecheza hatua ya makundi kwa msimu mitatu mfululizo. Wamecheza robo fainali kwa misimu miwili mfululizo na hatua kubwa zaidi kwao ni fainali yao moja sasa huko kudundwa unakosemea ni kivipi? Kuna progress kubwa kwa Yanga tofauti na kauli yako point 34 kwa msimu mitatu ni sawa na wastani wa point 11.33 kwa msimu mmoja je ni point chache hizo?

Yanga anamfunga Bingwa wa Algeria goli 4 kwa 0 je lini Simba iliwahi kupata ushindi mkubwa kiasi hiko mbele ya bingwa wa ligi ya Algeria, Tunisia au Misri?

Unazungumzia usajili wa kuchukua NBC, vipi nyie usajili wenu wa kuchukua makombe ya CAF yamewaletea makombe mangapi hadi sasa?
 
Napenda shabiki anaejibu kwa hoja haka hivi,hii nguchiro ya 5imba lazma ikimbie
 
Sheria za UEFA unazijua zinasemaje?
Sheria zinakataza mtu mmoja kuwa na ushawishi wa maamuzi kwenye klabu zaidi ya moja inaposhiriki mashindano ya ngazi moja.
Ishu ya GSM wala haihusiani na hili sakata kwasababu GSM hana maamuzi katika vilabu vingine ( hamiliki timu hizo nane) kwa maana kwenye ushawishi wa maamuzi yupo upande wa Yanga pekee.

Mfano wa GSM upo sawasawa na INEOS ambaye ni mmiliki wa Man united lakini wamekuwa wadhamini wa Tottenham Hotspur. Unajua kwanini Man united na Tottenham Hotspur wanaruhusiwa kushiriki mashindano pamoja japokuwa mmiliki wa Man united pia anaidhamini Tottenham?
Unadhani atakuelewa!?
Walishaelimishwa hadi tumechoka Sasa haijulikani kwa nni wametoka patupu ni GSM, Mangungu,wachezaji,Mo au kina try again hawajui.
 
Wamechanganyikiwa. Mara waseme Mo, Mara magungu, mara GSM, mara yanga inaroga.
Yani hata wao hawaelewi shida ni nini?
 
Ogopa sana wazee wanahama Kila bar kutoa tamko
Yani wanashindwa hata kutafuta kiofisi Cha 40000 kiframe flani wakipe hadhi ya ofisi wachore LI picha la Simba wao au waweke hata bango la Vodacom kwa nyuma (ni jekundu) wao ni kuhama tu
 
Hahahaha
 
Wamechanganyikiwa. Mara waseme Mo, Mara magungu, mara GSM, mara yanga inaroga.
Yani hata wao hawaelewi shida ni nini?
Mleta uzi kalibeba hivyo hivyo bila hata kuelewa chochote kisha akahusisha na GSM
 
Kama umekuja kuzungumza hoja basi tulia acha papara, ngonjera na mipasho kama mtu aliyekosa maarifa.

1) elezea barua ilikuwa inasema nini, usichukulie kila mtu kaisoma hiyo barua
2)Kudundwa kwa Yanga kwenye mashindano ya CAF sijaona ni kipi cha ajabu kwasababu tukienda kwa Fact ni kwamba hata Simba wakati anatafuta mwendelezo wa kufanya vizuri kuna michezo alikuta anadondokea pua kuingia makundi pale alipokutana na UD Songo na Galaxy lakini ilikuwa ni njia ya kujifunza ( hapo nimekurudisha nyuma msimu wa 2018/2019- hadi msimu wa 2024/2025 ambapo Simba ndipo ilipoanza safari ya kujipata katika mashindano ya CAF)

Yanga wao safari yao ilianza rasmi msimu wa 2022/2023 hadi 2024/2025 katika hiyo misimu mitatu wamecheza hatua ya makundi kwa msimu mitatu mfululizo. Wamecheza robo fainali kwa misimu miwili mfululizo na hatua kubwa zaidi kwao ni fainali yao moja sasa huko kudundwa unakosemea ni kivipi? Kuna progress kubwa kwa Yanga tofauti na kauli yako point 34 kwa msimu mitatu ni sawa na wastani wa point 11.33 kwa msimu mmoja je ni point chache hizo?

Yanga anamfunga Bingwa wa Algeria goli 4 kwa 0 je lini Simba iliwahi kupata ushindi mkubwa kiasi hiko mbele ya bingwa wa ligi ya Algeria, Tunisia au Misri?

Unazungumzia usajili wa kuchukua NBC, vipi nyie usajili wenu wa kuchukua makombe ya CAF yamewaletea makombe mangapi hadi sasa?
Kwani hicho kipindi cha nyuma wakati yanga wanachukua NBC premier league walikuwa hawashiriki?
Walifanya nini.
 
Back
Top Bottom