crystal palace

  1. JanguKamaJangu

    CARABAO CUP: Newcastle kuivaa Man City, Man United yapewa Crystal Palace

    Droo ya Raundi ya Tatu ya Kombe la Carabao Cup imepangwa ambapo timu kadhaa za Premier League zimepangwa kukutana kuwania taji hilo ambalo bingwa mtetezi ni Manchester United. Mechi zinazotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ni Manchester City vs Newcastle United, Man United watawakaribisha...
  2. Poker

    Leo EPL inaanza rasmi: Natabiri Arsenal kufa 2 kwa Crystal Palace

    Ikiwa ligi kuu ya uingereza inaanza leo kaa karibu yangu niweze kukubashiria matokeo sahihi ya weekend hii! Kwa kuanza Arsenal anakufa 2-1. Chelsea anadraw 1-1 Liverpool anashinda 3-1 Spurs anashinda 4-0 Newcastle anashinda 2-1 Aston villa anadraw 0-0 Leeds anadraw 2-2 Westham anashinda 1-0 Man...
  3. Christopher Wallace

    Edouard Mendy: Namfananisha Haaland sawa na Banteke wa Crystal Palace

    Golikipa wa Chelsea, Edouard Mendy anamfananisha mshambuliaji mpya wa Man City sawa na Mshambualiaji wa Crystal Palace, Christian Benteke. Kwamba Haaland hana tofauti yoyote na Benteke hii dharau, mimi naitunza hii kauli ili uko mbele ya safari nije niirejee...
  4. Influenza

    Ratiba ya Ligi Kuu England 2022/23: Arsenal kutufungulia pazia dhidi ya Crystal Palace. Ratiba yote ipo hapa

    Pazia la Ligi Kuu England msimu wa 2022/23 litafunguliwa Agosti 5, 2022 ambapo Crystal Palace itavaana na Arsenal kabla ya Manchester City kuanza kutetea taji hilo Agosti 7 dhidi ya West Ham Chelsea itaanza mbio zake za kuwania Ubingwa dhidi ya Everton mnamo Agosti 6 na Kocha Erik ten Hag wa...
  5. Idugunde

    Rais Hussein Mwinyi amkaribisha Mamadou Sakho Ikulu. Ni nyota wa Crystal Palace na timu ya Taifa Ufaransa

    Nyota huyo na familia yake yupo Zanzibar kwa mapumziko na familia yake. Inasadikiwa ataanzisha kituo cha michezo cha watoto na kuendeleza soka la Zanzibar. "Nimefurahi kwa uwepo wako hapa Zanzibar na tutashirikiana katika kuendeleza soka la watoto"
  6. Sam Gidori

    Ligi kuu England: Crystal palace yatoshana ubavu na Manchester United, Sheffield United yang'ara

    Baada ya kupata sare mbili za bila kufungana dhidi ya Real Sociedad kisha na Chelsea, Manchester United inasafiri hii leo kuelekea Selhurst kukipiga dhidi ya Crystal Palace mchezo utaopigwa saa 5 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. United inahitaji sana kushinda katika mchezo kwani Jumapili ya...
Back
Top Bottom