Crystal palace aikosa nafasi ya kushiriki Europa ,Huku Bongo kuna mtu ana mkono katika timu 8

Crystal palace aikosa nafasi ya kushiriki Europa ,Huku Bongo kuna mtu ana mkono katika timu 8

Kwani hicho kipindi cha nyuma wakati yanga wanachukua NBC premier league walikuwa hawashiriki?
Walifanya nini.
Kwani Simba kaanza kushiriki ligi kuu msimu wa 2018/2019? Ili kufanya vizuri katika mashindano ni lazima uwekeze katika project itakayokupa muendelezo chanya? Au unataka kusema Simba tokea imeanzishwa basi miaka yote ilikuwa inafanya vizuri CAF? mafanikio ni swala la mchakato unaotokana na uthubutu wa pesa na mipango thabiti. Uliza maswali yenye akili aisee.
 
Back
Top Bottom