TID kama angejua ku shake kama Michael Jackson hakika wa bongo tungekoma

TID kama angejua ku shake kama Michael Jackson hakika wa bongo tungekoma

TID is good musician as well is good comedian and good actor.

Nimependa Sana alivyohamia Dodoma amekuwa na back to back performance .

Hii pia inaweza ikawa ni njia sahihi na nzuri Sana Kwake.
 
Hivi kibongo bongo nani mkali wa kushake hasa zama za kina TID?

Lakin pia mkuu umemuoversize mnyama kumlinganisha na MJ.
Maana zile movement za MJ hata akina Chriss brown, Omarion na Usher wanachemkaga.
 
Jamaa ni bishoo aka brazaman, kipaji cha kuimba anacho sana.

Nilipenda nyimbo yake ya NYOTA.
Director wake pia alijitahd ile nyimbo japo ni ya kitambo
 
TID ni moja ya wasanii waliokuwa na miguso ya kisanii sana,ila industry yetu hii ni matatizo tupu.
 
Hivi kibongo bongo nani mkali wa kushake hasa zama za kina TID?

Lakin pia mkuu umemuoversize mnyama kumlinganisha na MJ.
Maana zile movement za MJ hata akina Chriss brown, Omarion na Usher wanachemkaga.
Wacko Jacko akipiga ile moon walker, ni kama miguu inarudi nyuma yenyewe bila kutumia nguvu hata kidogo
 
Back
Top Bottom