Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?

Au ni ulimbukeni tu??

Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer.

Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wa kutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu nne au tano.
 
images (25).jpeg


🥰
 
Mkuu kwani kuna mahala Sheria au Katiba ya nchi inawataka wanywe local beer?..

swali lako ni sawa nakuwauliza wanaokunywa Jack Daniels, Hennessy nk ilihali kuna Konyagi na K--vart.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?

Au ni ulimbukeni tu??

Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu.
Hasa wanaponunuliwa.
 
Mbona ilikua zamani sikuhizi amstadam na vindok, hizo Brand Spirit na whisky zinafyatuka hapa hapa.🤣🤣🤣 Usihadaike mwaego
 
Mbona ilikua zamani sikuhizi amstadam na vindok zinafyatuka hapa hapa.🤣🤣🤣 Usihadaike mwaego
Oya Amsterdam zile navigator zinapatikana wapi za kwenye cane maan nilishainywa x1 tu na sijawahi Iona Tena ni 1 ya bia nzuri sana zipo wapi mi niagize
 

Attachments

  • BTN-10062020002011000000-5f7bb83b79788.png
    BTN-10062020002011000000-5f7bb83b79788.png
    477.9 KB · Views: 36
Back
Top Bottom