Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

Hazina hangover za kishamba bana ondoeni negativity kunywa beer ya elfu 5 kuna ushua gani hapo😅
Kama huna pesa ya kujinunulia bia mwenye kunywa Safari, Serengeti na Kilimanjaro, acheni mambo ya kuachia sijui Heineken, Windhoek, Savannah na Bruto kwa pesa za watu.
 
Kama huna pesa ya kujinunulia bia mwenye kunywa Safari, Serengeti na Kilimanjaro, acheni mambo ya kuachia sijui Heineken, Windhoek, Savannah na Bruto kwa pesa za watu.
Binafsi nakunywa whiskey.. na sitegemei pesa ya mtu ndio nilewe or else nimepata mualiko wa kujiachia🤸🏽‍♀️
 
Kuna vinywaji anayenunua hanywi na anaekunywa hanunui
 
Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?

Au ni ulimbukeni tu??

Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer.

Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wa kutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu nne au tano.
images (13).jpeg
 
Back
Top Bottom