Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,349
- 6,423
Nakubali mkuuKulikuwa hamn bia nyingine ni hizo tuu
Mmm nilikuwa nakunywa sana 🦅 zile ni ngumu sana
Nakubali mkuuKulikuwa hamn bia nyingine ni hizo tuu
Ice Tropez ni kwa wanaojiweza😂😂Huwambii kitu khs Brutal fruit, desperado na kuna hii Ice tropez
Balimi ni kisukuma nahisi inamaanisha walimaji/ wakulimaBalimi yaani hiloo jina tuu hukuogopa mkuu😳
Ile Hennesy Pori ina balaa mkuuMimi nilikuwa nafikiria Hanson choice inatoka south kumbe inatengenezwa hapo tu shinyanga
Cc cocastic Madame BBia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?
Au ni ulimbukeni tu??
Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer.
Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wakutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu nne au tano.
Sinywi kinywaji chochote cha kiwandani, isipokua maji, sembuse hivyo Vilevi?
Nilikutan na 1 et anakunywa hiz nikamwambia km hunyw wine bas sina hel ya kununua Hz, et ooh wine inanichukuag nikamwambia unakunywa ili ulewe au unakunywa ili ujaze tumbo mbona alikubali nilitumia tu buku 8 kwenye wine akawa kashawaka tukaamsha😂🙌 mapema geto
Sinywi kinywaji chochote cha kiwandani, isipokua maji, sembuse hivyo Vilevi?
Sihusiki kabisaa.
ha ha ha,ukiwaalika unawaambia waziwazi kuwa ofa yako ni bia za tanzania tuBia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?
Au ni ulimbukeni tu??
Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer.
Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wakutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu nne au tano.
Nani expensive?
Wameanza kurudi nyumbani kwa kasi sana toka wagundue ujinga wanaoupenda unapatikana kwa wingi kwenye kile kinywaji ambacho kindengereko chake ni "Samaki anayepaa", nyie mliopita kwa Ras Simba huwa mnasema "Flying Fish"Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?
Au ni ulimbukeni tu??
Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer.
Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wakutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu nne au tano.
Ina nini kwani? MkuuWameanza kurudi nyumbani kwa kasi sana toka wagundue ujinga wanaoupenda unapatikana kwa wingi kwenye kile kinywaji ambacho kindengereko chake ni "Samaki anayepaa", nyie mliopita kwa Ras Simba huwa mnasema "Flying Fish"