Hizo za kwenye picha? Maan ndiyo nazotaka nipo Kanda ya katiWewe uko wapi? Nenda By laws Arusha pale.
Hizo za kwenye picha? Maan ndiyo nazotaka nipo Kanda ya katiWewe uko wapi? Nenda By laws Arusha pale.
Hawa ni Paka ama ni nini mkuu?😆
Kunywa balimi ujambe mpaka ofisini wakajua umekunywa balimi au kilimanjaroBia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?
Au ni ulimbukeni tu??
Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu.
Nilikunywaga balimi musoma sijui zilikuwa zimeisha muda Yan kesho yake niliharisha na nikiwa choon tumbo ndy linazid kuuma sitorudia tenaKunywa balimi ujambe mpaka ofisini wakajua umekunywa balimi au kilimanjaro
Wako wapumbavu wananunua tomatoes sauce za kenya 😁wangejua🤫🤫🤫Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?
Au ni ulimbukeni tu??
Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu.
Achana na ubora wa pichaNi aibu kuona TBC Bado inatumia camera zenye ubora mdogo wao bora sauti isikike ubora picha tutatafuta sisi watazamaji ni kwamba serikali imeshindwa kabisa kuboresha?
Na mapambioAchana na ubora wa picha
Hata kuhusu vipindi vyao Hawa jamaa wanarudiarudia vipindi mpaka kero
Unakuta pindi la mwaka juzi wanarusha Leo Wanaboa
Nimeacha kunywa bia ngumu na kunywa pombe kali ambazo ni kiwango na bia za lite tu.Nilikunywaga balimi musoma sijui zilikuwa zimeisha muda Yan kesho yake niliharisha na nikiwa choon tumbo ndy linazid kuuma sitorudia tena
Ngumu kumesa ,mtingo kunesaMkuu wewe utajisikiaje ukimkuta mkeo anakunywa Balimi, Eagle au castle milk?
Hii na kitambi ni kama kile chama na ufisadi
Unakunywa ili ulewe au unakunywa ili ujaze vyupa mezani 😂😂😂🔥Nimeacha kunywa bia ngumu na kunywa pombe kali ambazo ni kiwango na bia za lite tu.
Kuna moja inaitwa....Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?
Au ni ulimbukeni tu??
Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu.
Sava...Kuna moja inaitwa....
Ngoja ninyamazee
Hiyo Eagle ni balaa na nusuMkuu wewe utajisikiaje ukimkuta mkeo anakunywa Balimi, Eagle au castle milk?
Kweli wewe Fake P,😁Mbona ilikua zamani sikuhizi amstadam na vindok, hizo Brand Spirit na whisky zinafyatuka hapa hapa.🤣🤣🤣 Usihadaike mwaego
Had Mimi nilifikiri hivyo kumbe inabutuliwa hapo shy town🤣Mimi nilikuwa nafikiria Hanson choice inatoka south kumbe inatengenezwa hapo tu shinyanga
Balimi yaani hiloo jina tuu hukuogopa mkuu😳Nilikunywaga balimi musoma sijui zilikuwa zimeisha muda Yan kesho yake niliharisha na nikiwa choon tumbo ndy linazid kuuma sitorudia tena
Wakiwa wenyewe wanakunywa mpaka ShujaaHasa wanaponunuliwa.
Sema wanapackeg nzuri ya mamtonHad Mimi nilifikiri hivyo kumbe inabutuliwa hapo shy town🤣
Kulikuwa hamn bia nyingine ni hizo tuuBalimi yaani hiloo jina tuu hukuogopa mkuu😳