Jumanne Kaseja ni akili kubwa na hakuna mtu anamuweza hapa Bongo

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Kelele ni nyingi Ila Jumanne Kaseja hakuna MTU anamuweza hapa Tanzania.
 
Usiseme hapa Tanzania, sema huko Daslamu
 
Kuna dada huko mitandaoni kaamua kumvaa yeye na familia yake anasema mbovu mbovu sana kuhusu usiano usio na staha na kifo chaJPM.
 
Huyu JK anawaburuza vibaya mno Watanzania kama mang'ombe vile.

Hivi sasa anapanga ramani ya mkewe kuwa waziri mkuu 2025-2030 na mwanaye kuwa rais 2030 -2040.

Halafu hakuna kitu mtamfanya yaani.
 
Tunamwachia Mungu.Mfano hai upo Dodoma
 
Huyu JK anawaburuza vibaya mno Watanzania kama mang'ombe vile.

Hivi sasa anapanga ramani ya mkewe kuwa waziri mkuu 2025-2030 na mwanaye kuwa rais 2030 -2040.

Halafu hakuna kitu mtamfanya yaani.
Hawa mpaka nature iamue
Kwa sasa hawawezekani 😄

Ova
 
Huyu JK anawaburuza vibaya mno Watanzania kama mang'ombe vile.

Hivi sasa anapanga ramani ya mkewe kuwa waziri mkuu 2025-2030 na mwanaye kuwa rais 2030 -2040.

Halafu hakuna kitu mtamfanya yaani.
Na lazima aone mtoto wake awe prezidah 😄

Ova
 
Back
Top Bottom