Mabilionea uchwara wa Zimbabwe ni maarufu sana bongo kuliko bilionea halisi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi.

Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza kumsikia anaitwa Strive Masiyiwa.

Huyu Strive Masiyiwa utajiri wake ni sawa na wa Mo, Bakheresa na GSM kwa pamoja. Ana kampuni kubwa zinaitwa Econet na Cassava Technologies za huduma za mawasiliano ya simu, internet, na nishati mbadala.

Huyu bwana ni tajiri kweli, msomi haswa na mtu asiye chawa wa utawala wa ZANU PF tofauti na matajiri wa nchi nyingi za kiAfrica.
 
"Huyu Strive Masiyiwa utajiri wake ni sawa na wa Mo, Bakheresa na GSM kwa pamoja"
Naomba thibitisha hili tafadhali.
ingependeza ungetoa na statistics.......

#YNWA
#YANGA_BINGWA
GSM sidhani kama nitajiri kama tunavomuona naamini kuna mikono mingi sana ya Wanasiasa.

Ndio maana ulimuona alitoa bilion 10 kwenye harambee ya CCM naana anajua mifumo ya serkali anafanya nayo kazi vizuri.

Ukiangalia hata ICD kapatiwa maeneo haya ya Jeshi na maeneo mengine mengi kuendesha boashara.
 
Masisiwa anaikopesha serikali kujenga bara bara harafu anarudishiwa pesa bila riba huyo jamaa ana balaa sana kawarudisha Wazimbabwe waliokwama SA kawapa usafiri na nauli za kuelekea vijijini kutoka Harare wote alipeleka bus nyingi sana na hataki mambo ya kelele akifanya anatulia..
 
Ni mmojawapo wa mabilionea wachache Africa ambao biashara zao zimenyooka kweli, hazina kona kona na hategemei kubebwa na watawala kama matajiri wengi wa bara hili ambao ni tendepreneurs na wezi wa rasilimali.
 
Na pia anapata kazi nyingi nje ya Zimbabwe kawaambia Econet wafanye mpango wawape ajira wanaorudishwa SA kuwajiri watu 30,000 kwa kazi za kuwapa training ya muda mchache na maisha yaendelee hana complication kabisa..
 
Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi.

Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza kumsikia anaitwa Strive Masiyiwa.

Huyu Strive Masiyiwa utajiri wake ni sawa na wa Mo, Bakheresa na GSM kwa pamoja. Ana kampuni kubwa zinaitwa Econet na Cassava Technologies za huduma za mawasiliano ya simu, internet, na nishati mbadala.

Huyu bwana ni tajiri kweli, msomi haswa na mtu asiye chawa wa utawala wa ZANU PF tofauti na matajiri wa nchi nyingi za kiAfrica.
Yatosha nasema yatosha. Tuacheni tumuomboleze ndugu yetu Wicknell Chivayo kwa amani.

Hata hivyo Vale Nafaka yupo. Kwani ni mfariji kwetu wakati wa huzuni.

Screenshot_20260412_165003_Instagram.jpg
 
Yatosha nasema yatosha. Tuacheni tumuomboleze ndugu yetu Wicknell Chivayo kwa amani.

Hata hivyo Vale Nafaka yupo. Kwani ni mfariji kwetu wakati wa huzuni.

View attachment 3682796
Kuna manzi nilikutana nae amevaa hio ila kuna zile nyepesi imechora mpakakuma inaonekana ileee ilibidi nikwepeshe macho
 
GSM sidhani kama nitajiri kama tunavomuona naamini kuna mikono mingi sana ya Wanasiasa.

Ndio maana ulimuona alitoa bilion 10 kwenye harambee ya CCM naana anajua mifumo ya serkali anafanya nayo kazi vizuri.

Ukiangalia hata ICD kapatiwa maeneo haya ya Jeshi na maeneo mengine mengi kuendesha boashara.
Waangalie maskini wanapiga hesabu za matajiri wakiwa kijiweni. Yaani wanajua utajiri wa hao matajiri vichwani mwao bila kuhitaji access yyte. Hawa ndiyo maskini wa bongo
 
Telecom tycoon Strive Masiyiwa. Huyo mshua anajenga Data Center ya kwanza Africa. Anatoa scholarships kwa miaka mingi sana vijana kusoma science subjects Ulaya na Marekani. Huwezi msikia kwenye upompo wa kuonyesha migari, mapesa, kujipendekeza kwa wanasiasa, kupost wanawake na mindege.
Huyo jamaa ni moja ya binadamu wachache wajumbe wa bodi ya Rockefeller Foundation.
 
Masisiwa anaikopesha serikali kujenga bara bara harafu anarudishiwa pesa bila riba huyo jamaa ana balaa sana kawarudisha Wazimbabwe waliokwama SA kawapa usafiri na nauli za kuelekea vijijini kutoka Harare wote alipeleka bus nyingi sana na hataki mambo ya kelele akifanya anatulia..
Huyu sasa ndiye bilionea. Ukishaona showoffs nyiiingi ni highly questionable. Showoffs mara nyingi zinabeba ill-motives.
 
Waangalie maskini wanapiga hesabu za matajiri wakiwa kijiweni. Yaani wanajua utajiri wa hao matajiri vichwani mwao bila kuhitaji access yyte. Hawa ndiyo maskini wa bongo
Hata wao ni masikini tu, Tajiri gani anahangaika na kuibia Wananchi wake kila kukicha. Utajiri wa mtu unaanzia ndani yake.

Kwenye vitabu vya dini vinatufundisha kuwa na kiasi kwa kila jambo. Ndio maana unaona watu wengi wanahangaika kutaka kuwa na kila kitu ila mwisho wa siku hakuna kitu wanapata bali huambulia kupoteza nafsi zao na roho zao.

Kwa hiyo unapoona watu wanamwongelea mtu si kwa kuwa hawana vitu ila tunaongea mambo mabaya ambayo mtu huyo huyafanya mfano kama hilo la kupewa maeneo ya jeshi nk.
 
Back
Top Bottom