Mabilionea uchwara wa Zimbabwe ni maarufu sana bongo kuliko bilionea halisi

Mabilionea uchwara wa Zimbabwe ni maarufu sana bongo kuliko bilionea halisi

Telecom tycoon Strive Masiyiwa. Huyo mshua anajenga Data Center ya kwanza Africa. Anatoa scholarships kwa miaka mingi sana vijana kusoma science subjects Ulaya na Marekani. Huwezi msikia kwenye upompo wa kuonyesha migari, mapesa, kujipendekeza kwa wanasiasa, kupost wanawake na mindege.
Huyo jamaa ni moja ya binadamu wachache wajumbe wa bodi ya Rockefeller Foundation.
Jamaa wa moto sana kama amefikiwa hatua ya kuaminika na kuwa mjumbe wa Rockefeller Foundation basi huyo sio mwenzetu.
 
Jamaa wa moto sana kama amefikiwa hatua ya kuaminika na kuwa mjumbe wa Rockefeller Foundation basi huyo sio mwenzetu.
Bodi nyingine alizo mjumbe ni pamoja na Netflix, Bill Gates Foundation, National Geographic Society, Unilever
 
Telecom tycoon Strive Masiyiwa. Huyo mshua anajenga Data Center ya kwanza Africa. Anatoa scholarships kwa miaka mingi sana vijana kusoma science subjects Ulaya na Marekani. Huwezi msikia kwenye upompo wa kuonyesha migari, mapesa, kujipendekeza kwa wanasiasa, kupost wanawake na mindege.
Huyo jamaa ni moja ya binadamu wachache wajumbe wa bodi ya Rockefeller Foundation.
Rockefeller ? Wazee wa chama.
 
Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi.

Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza kumsikia anaitwa Strive Masiyiwa.

Huyu Strive Masiyiwa utajiri wake ni sawa na wa Mo, Bakheresa na GSM kwa pamoja. Ana kampuni kubwa zinaitwa Econet na Cassava Technologies za huduma za mawasiliano ya simu, internet, na nishati mbadala.

Huyu bwana ni tajiri kweli, msomi haswa na mtu asiye chawa wa utawala wa ZANU PF tofauti na matajiri wa nchi nyingi za kiAfrica.
Niwe mkweli.Strive Masiyiwa ndiye nilikuwa namjua ana mbuni za kutosha hadi mbuni tena.Hao akina Ginimbi na baadaye Wiknell Chivayo aka the dude na wengine nilidhani wanajihusisha na sanaa za majukwaani/filamu za hapa na pale kama Joti tu.
 
GSM sidhani kama nitajiri kama tunavomuona naamini kuna mikono mingi sana ya Wanasiasa.

Ndio maana ulimuona alitoa bilion 10 kwenye harambee ya CCM naana anajua mifumo ya serkali anafanya nayo kazi vizuri.

Ukiangalia hata ICD kapatiwa maeneo haya ya Jeshi na maeneo mengine mengi kuendesha boashara.
Naunga mkono

Huyu kama Rost yaani Gsm biashara yake halisi ni ile silent ocean yupo mdogo wake na yale maduka ya Mr Discount( Zamani Home Shopping Center) wanauza carpet na mashuka.

Biashara kubwa zote ni za Chama na wanasiasa.

Ref: Hisa voda, magic fm na Channel Ten ma kadhalika.
 
Bodi nyingine alizo mjumbe ni pamoja na Netflix, Bill Gates Foundation, National Geographic Society, Unilever
Aiseh
 

Attachments

  • Screenshot_20261003-103706.png
    Screenshot_20261003-103706.png
    313.7 KB · Views: 11
GSM sidhani kama nitajiri kama tunavomuona naamini kuna mikono mingi sana ya Wanasiasa.

Ndio maana ulimuona alitoa bilion 10 kwenye harambee ya CCM naana anajua mifumo ya serkali anafanya nayo kazi vizuri.

Ukiangalia hata ICD kapatiwa maeneo haya ya Jeshi na maeneo mengine mengi kuendesha boashara.
Sorry, hizi ni story A.K.A porojo.
We andika
Mo utajiri wake .....
GSM utajiri wake zero (kama ulivyosema hana kitu)

Endelea na wengine, halafu acha sisi tutoe hizo porojo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sorry, hizi ni story A.K.A porojo.
We andika
Mo utajiri wake .....
GSM utajiri wake zero (kama ulivyosema hana kitu)

Endelea na wengine, halafu acha sisi tutoe hizo porojo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
mbona makasiriko, Vipi wewe ni Ommy nini maana kumgusa kidogo tu GSM kelele na maneno mengi.YBWYB.
 
Matajiri wengi wakubwa hawapendagi show off na kutrend mitandaoni ndiyo maana, chivayo Ali trend na ile staili yake ya kutembelea ikulu za mataifa kadhaa na kujiegesha atakavyo kwenye makochi ya ikulu za nchi hizo mpaka tukahisi atakuwa siyo tajiri wa kawaida
 
mbona makasiriko, Vipi wewe ni Ommy nini maana kumgusa kidogo tu GSM kelele na maneno mengi.YBWYB.
Sijaelewa braza?
Kuomba data ni hasira ...????

Mbona hoja yangu wewe ndio uliikuta ukaijibu mwanzoni, Mimi nilihitaji data ukanipa story.
Kwani ni vibaya kukumbushia hoja nazotaka?

Toa data boss.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ni watakatishaji wa fedha haramu Jambo hili linafanyika kwa kushikiriana na Serikali ya Zimbabwe ili Serikali ipate fedha.
 
Sorry, hizi ni story A.K.A porojo.
We andika
Mo utajiri wake .....
GSM utajiri wake zero (kama ulivyosema hana kitu)

Endelea na wengine, halafu acha sisi tutoe hizo porojo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ngoja ni msaidie Jamaa
Masiyiwa >US$2.2 billion
Mo >US$1.8 billion
GSM> US$800 million
Bakhresa >US$600 million
 
Back
Top Bottom