Mbosso anaimba Taarab sio Bongo Fleva, nashangaa sana mwanaume kuimba nyimbo za Mbosso

Mkuu kwani umelazimishwa kusikiliza huo muziki wa Mboso?
Hao wanaoufuatilia huo muziki wa Mboso waache wafuatilie kama wao wameridhika na wanaupenda,

Hao watu wengine wakifuatilia na kuimba muziki wa Mboso,wewe unapata madhara yeyote yale? kwanini unaumia na kutaka kuwapangia watu maisha? kila mtu yupo huru kufanya akipendacho,ili mradi tu asivunje sheria za nchi,

Minding your own Business is a full time Job,
Stay Employed.
 
Ni kuweka rekodi sawa, na muziki huwa unapigwa public kwa wanaofuatilia na wasioufagilia pia

So Mimi ambaye nausikia ukipigwa na siufagilii Nina haki ya kusema ni muziki wa kiwaki,
 
Hivyo vikarolaiti vyenu,
nitavipiga marufuku hapa ,

mimi nina rangi yangu,
sina uso wa vibaka,
Mimi nina rangi yangu,
nakopa bado nalipa aaah,

Bandika bandika mmi ,
nabandua tumependana wawili, wewe unajichomeka ,
hakutaki pesa mbili ,
hunijui takataka ,
bandika bandika ,
mm nabandua aah aaaaah, tuulikaaa aaah ,
 
Sasa Melody ya Mbossi inafanana na JKT taarabu, au Issa Matona au Patricia Hillary au TOT Taarabu au JAHAZI?
ZIna vitu common, mahadhi flani ya kiPwani pamoja na mashairi yake, japo kila muimba taarabu ana kitu chake cha kipekee kama ilivyo miziki mingine
 
Kila mahadhi ya Pwani ni taarabu kaka? ina maana utaniambia The Mashrooms wanaimba taarabu pia? Siri yangu ya Jay Dee ile ni taarabu? Nataka kuwa nawewe ya kina Berry Black nayo ni Taarabu?
 
Ukisema Mboso aniamba Taarabu nitakukatalia, sababu midundo ya Mbosso mainly ni bongo flava, ambayo imechanganywa na Hizo melodies na rhythms za Pwani. So, Mboso anafanya AfroPop. At lease ukisema Taarab Fusion it can make sense.
 
Mkuu kwani umelazimishwa kusikiliza huo muziki wa Mboso?
Hao wanaoufuatilia huo muziki wa Mboso waache wafuatilie kama wao wameridhika na wanaupenda,

Hao watu wengine wakifuatilia na kuimba muziki wa Mboso,wewe unapata madhara yeyote yale? kwanini unaumia na kutaka kuwapangia watu maisha? kila mtu yupo huru kufanya akipendacho,ili mradi tu asivunje sheria za nchi,

Minding your own Business is a full time Job,
Stay Employed.
🌈😁
 
Back
Top Bottom