Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Habari wadau,
Kama unapenda kutumia AI kama ChatGPT kuandika kazi, kutafuta majibu au kupata idea, nimekutana na website mpya inaitwa Bongo Sand.
Inafanya kazi kama ChatGPT tu, unauliza swali inakujibu. Interface yake ni rahisi na inafunguka haraka hata kwa simu ndogo.
Mimi nimeijaribu kidogo, inajibu Kiswahili vizuri.
Wale mtakaoijaribu mtoe review yenu hapa - inafaa au bado ChatGPT bado mfalme?
Mnaonaje wadau?