Nimekutana na website mpya ya ai kama chatgpt - inaitwa bongo sand

Nimekutana na website mpya ya ai kama chatgpt - inaitwa bongo sand

kwanza huwa najiulza sana.. hvi Mungu alituumbia msaidiz wanin kuja kula cha mwanaume au tushirikiane?
Ni kusaidiwa kula chako mzee baba! Hatujaumbiwa shida siye💃🏽
maana kunavidada vimeshajiwekea kiwango cha mahari na na standard ya mwanaume anaemtaka awe na mali
Si ndio, maisha ni kuoanga na kuchagua! Huku kwetu mahari wanapanga wajomba!
 
Back
Top Bottom