Nimekutana na website mpya ya ai kama chatgpt - inaitwa bongo sand

Nimekutana na website mpya ya ai kama chatgpt - inaitwa bongo sand

Duhh unaanzaje sasa au kuna vichochezi? Bora ukomae na pc yako uanzisha kitu cha kukufaidisha mbeleni!
Wanaume sisi kichwa cha chini ni dominant sana kuliko cha juu😃
 
Hamna Kitu Zote...Akili Ya Mwanadamu Itabakiaa Pale Pale Aseee

AI is just math. Ila pia ni simulation ya ubongo wa binadamu. Chimbuko la machine learning ambayo ilipelekea kutengenezwa kwa AI limeanza muda sana lakini neuroscience ndio pioneer wa hii field. Baada ya jamàa mmoja kupata Noble price somebody Santiago Ramón y Cajal(he disproved Camillo Golgi)baadae kugundua learning is just strength of connection na connection inajengwa na neurons zinapofire na kutengeneza pathways(synapse (connection between one neuron and another)) tukatumia math kusimulate hii kitu. Miaka ya mbele Kuna jamaa aliitwa Frank Rosenblatt nae akaja na machine moja ilitwa Perceptron. Simulation nayo ya neuron but ilikuwa ni ya kicomputer zaidi.

Point yangu ni kwamba AI itatusupress one day yes. And our machines we built ourselves will suppress our own thinking capability.
 
ni sawa sawa na unamjua mwenye nyumba ila unaenda kwa dalali akupeleke kwa mwenyenyumba
 
Dahh Mungu awasaidie sana!
Amin🙏 hata hivyo Napambana sana kwa msaada wa MUNGU, ndiyo maana natumia muda wa ziada kufanya kitu ninachopenda.

I know am not perfect, but am trying.
 
Ndio yaleyale, mwanamke anataka mali zangu na huna hata kiwanja
hahahaha ni kusukuma gurudum tu ili lisonge ili hari ukija kiuharisia ni tofaut na mtandaon.

sema tunawaogopa wanawake mia yangu mfukon ntailinda kwa wiv mkubwa
 
Sasa nani anataka mia yako mkuu, usiilinde sana utajiumiza nakwambia!
kwanza huwa najiulza sana.. hvi Mungu alituumbia msaidiz wanin kuja kula cha mwanaume au tushirikiane?

maana kunavidada vimeshajiwekea kiwango cha mahari na na standard ya mwanaume anaemtaka awe na mali
 
Back
Top Bottom