Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
🔥 Kabla hujaamua kwenda kununua simu za Samsung used, save hii post na tuma kwa mtu anayepanga kununua simu!
Sio kila Samsung yenye jina la Galaxy bado ni simu nzuri 😳. Baadhi ya simu za zamani zimefika mwisho wa updates na security support.
❌ Galaxy S22 Series kilichobakia ni security update ambayo ndo inafikia tamati mwaka huu 2026.
❌ Galaxy S21 Series haipati support yoyote sio Android wala security
❌ Galaxy S20 Series: kizazi cha zamani sana na hazipo kwenye orodha ya sasa ya security updates.
❌ Galaxy Note 20 Series support yake imekwisha.
❌ Galaxy S10 Series imepitwa na wakati 👀.
❌ Galaxy A51 & A71 A-series nyingi za 2019–2020 — hazifai kama unatafuta simu ya kutumia miaka kadhaa.
❌ A/M Series za zamani
💡 Usidanganywe na bei ya bei rahisi—simu inaweza kuwa cheap leo, lakini ikawa hasara kesho.
💀 Bei rahisi leo inaweza kuwa hasara kesho. Usisahau kutu follow bongotech2⁵5🎮🎧 || Teknolojia ni Yetu sote 🏃 na ku tags rafiki zako✍️.
#bongotech255 #samsunggalaxy