fahamu

  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛izi hapa Websites 𝟱 za nguvu wengi hawazijui kabisa

    Unatumia intaneti kila siku, lakini je, unazijua website hizi zinazoweza kukurahisishia maisha? 👀📱 Hizi hapa website 5 ambazo ukizijua, unaweza kujiuliza kwa nini hukuzigundua mapema! 🤯👇 🔥 Hizi si website za kupoteza muda, bali ni zana zinazoweza kukusaidia kufanya mambo mengi kwa urahisi...
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kupata gari unalotaka

    1. Fanya utafiti mdogo juu ya gari unalolitaka: Uliza ujue gari unalolitaka linauzwa kiasi gani[makadirio]. Ukiweza kujua bei ya showroom au ukiagiza mwenyewe Japan halafu linganisha na bei utakayopewa hapa. Hili ni muhimu kwa sababu nimeshuhudia watu wananunua magari yaliyotumika Tanzania kwa...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 🚨 𝗧𝗮𝗵𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗶 𝗛𝗮𝗰𝗸𝗲𝗿𝘀 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗨𝗱𝗵𝗮𝗶𝗳𝘂 𝘄𝗮 𝗣𝗛𝗣 𝗸𝘂𝘃𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗪𝗲𝗯𝘀𝗶𝘁𝗲

    Serikali ya Marekani imetoa onyo kuhusu wadukuzi wameanza kutumia mapungufu makubwa ya kiusalama kwenye PHP, Hii ni Teknolojia inayotumika kuendesha mamilioni ya tovuti Duniani. 🌍 Kupitia mapungufu haya, wadukuzi wanaweza kuingia kwenye seva zilizoathirika bila ruhusa ya mmiliki, jambo...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Infinix imetoa simu yenye update miaka 5

    Kama Unachoka kubadilisha simu kila baada ya muda mfupi? 😅 Basi ngoja kwanza nikuambie kuhusu hii simu! 👀🔥 Infinix imekuja na ujumbe unaovutia kupitia HOT 70! 📱🔥 Wanasema: “Tough Outside, Beast Inside!” 🤖💪 Yaani muonekano wenye mvuto, nguvu ya Ajabu na ahadi ya masasisho ya programu kwa muda...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗞𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝗝𝟲 𝗯𝗮𝗱𝗼 𝗶𝗻𝗮𝗽𝗲𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝗵𝘂𝘂 𝟮𝟬𝟮𝟲

    Samsung Galaxy J6 ni simu iliyozinduliwa mwaka 2018, lakini bado inaweza kufanya kazi nyingi za kawaida mwaka 2026. Hii ni simu ambayo imeshapita miaka 8 Toka Kuachiwa kwake lakini mpaka Leo bado simu nzuri sana ya kutumia bado inaweza kufanya kazi nyingi za kila siku hadi leo! 🔥. 😍 Skrini...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wako anasoma CBC? Fahamu madarasa, mitihani, gharama na nafasi yako kama mzazi.

    Mfumo wa elimu unaotumiwa na watoto wengi nchini Kenya umebadilika kutoka mfumo wa 8-4-4 hadi mfumo wa elimu unaozingatia uwezo, vipaji na ujuzi wa mwanafunzi, unaojulikana kama Competency-Based Curriculum (CBC). Mabadiliko haya yamezua maswali miongoni mwa wazazi na walezi. CBC inamaanisha...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania FAHAMU MAMBO MUHIMU KUHUSU UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO

    1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02. 2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99. 3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81 ya utekelezaji. 4. Mnara wa Kuongozea Ndege (Control Tower) umefikia asilimia 74 ya utekelezaji...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Usinunue simu used kabla ya kuangalia haya!

    Kabla ujaamua kununua simu Used tafadhari Kuna mambo Muhimu ya kuzingatia ili kuwa Salama kwa mwaka huu 2026. Simu inaweza kuwa imependeza, haina scratch na bei yake ni tamu… lakini ukikosea vitu hivi 3, unaweza kujikuta umenunua tatizo badala ya simu! 💀 👀 1. IMEI & LOCK Hakikisha IMEI...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

    Kama una mpango wa kununua simu used Toka kampuni ya Google yani Google Pixel basi kabla ujaamua kutoa pesa yako leo nakuambia jambo Muhimu 👋. Sio kila Pixel unayoiona dukani ni deal nzuri 😬 Baadhi ya model za zamani zimeanza kusogea mwisho wa masasisho na support, zingine Betri zinazingua...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Jihadhari kununua hizi Samsung kwa mwaka huu 2026

    🔥 Kabla hujaamua kwenda kununua simu za Samsung used, save hii post na tuma kwa mtu anayepanga kununua simu! Sio kila Samsung yenye jina la Galaxy bado ni simu nzuri 😳. Baadhi ya simu za zamani zimefika mwisho wa updates na security support. ❌ Galaxy S22 Series kilichobakia ni security...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania China imefanya kitu cha kuishangaza dunia

    Unaweza sema haiwezekani? lakini kwa nchi ya China imewezekana 👋Ndani ya chini ya dakika 45, China imerusha roketi 4 tofauti kwenda angani! 😱🛰️ Kati ya Septemba 15–16, 2026, China ilifanikiwa kurusha roketi 4 tofauti ndani ya takribani saa 45, kutoka vituo 3 tofauti vya kurushia roketi...
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu utakaowaandaa watoto kwa ajili ya wakati ujao: Fahamu siri ya shule ya Elon Musk, 'Ad Astra'

    Mfumo wa elimu unaopendekezwa na Elon Musk uitwao 'Ad Astra' likiwa neno la kilatini likimaanisha kuelekea kwenye nyota ni mfumo ambao aliuanzisha kwa siri mwaka 2014 baada ya kamua kuwatoa watoto wake kwenye Shule za kawaida akiamini kuwa shule za kawaida hazifundishi watoto namba ya kufikiri...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Fahamu mfumo wa Baraza la ardhi na nyumba la Wilaya

    https://m.youtube.com/watch?v=8Mw7LJ6EwEc&t=1764s[/URL]
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna Smartphone ambazo zinatengenezwa Tanzania

    Umeshawahi kujiuliza kama Tanzania tuna kampuni ambayo inahusika na kutengeneza bidhaa mbalimbali za Teknolojia ikiwemo smartphone Yani simu janja 😃. Ndiyo Tanzania Kuna kampuni inayohusika na biashara za simu za mkononi inaitwa Raddy Eletronics ni kiwanda kilichopo mkuranga mkoani Pwani...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kadi ya Mwendokasi haipo kwenye Google Wallet?

    Inawezekana unatamani sana kutumia simu yako ku scan kwenye mashine mbalimbali za ku scan Kadi ili kupunguza kutembea tembea na Kadi kwenye wallet yako sio 👋. Kadi yako inaweza kuwa na mfumo wa NFC na Simu yako Ina support lakini bado huwezi kuhamisha kadi ya Mwendokasi kwenda Google Wallet...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘂𝗻𝗴𝗮𝗻𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗧𝘃 𝗻𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗪𝗶𝗳𝗶

    Sio lazima Tena kutumia wifi moja kuweza kuunganisha simu na YouTube yako 👋. YouTube imetambulisha kipengele kipya kinaitwa Companion View Device inachofanya simu yako kuwa kama Second skrini ikiwa unaangalia YouTube kupitia Smart Tv. Ukiangalia YouTube kwenye Smart TV, Companion View...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini baadhi ya ofisi hupendelea kuweka maua ya asili

    Je ulishawahi kuliona ama kulitafakari hili kama alivyofanya Manyanza !? Ofisi kubwa na za kisasa huweka maua ya asili kama mkakati wa kisayansi wa kusafisha hewa maeneo ya kazi. Mimea hii hufanya kazi kama chujio la asili kwa kufyonza kemikali zenye sumu zinazotoka kwenye rangi, samani, na...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mnaokaa nyumba za kupanga (shared) fahamu hili

    Nakupa uzoefu na facts muhimu sana. Mimi sina historia ya kukaa nyumba ya kupanga ambayo ni ya kushare wapangaji wengi. Niliwahi kukaa kwa miezi 5 tuu kipindi naanza kazi kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo nikapata kazi nyingine nzuri zaidi nikahama mkoa kabisa, huko nikapata nyumba nzima...
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 📱𝗨𝘀𝗶𝗱𝗮𝗻𝗴𝗮𝗻𝘆𝗶𝗸𝗲 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗰𝗼𝗱𝗲 *#*#𝟰𝟲𝟯𝟲#*#*!

    🔥 Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? ❌ Huo ni UONGO! #4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi ya simu. 📶 ⚠️ Haikupi MB za bure, haiondoi gharama za internet, wala haikuruhusu kutumia data...
  20. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Fahamu machache kuhusiana na Mtaa wa Karen ndani ya Jiji la Nairobi.

    Kuzaliwa kwa Karen. Ipo hivi. Kati ya mwaka 1929 na 1930, koloni la walowezi wa Uingereza nchini Kenya lilikuwa linakabiliwa na anguko kubwa la kiuchumi. Tatizo lilianza baada ya Soko la Hisa la Wall Street nchini Marekani kuporomoka, na madhara yake yakafika hadi Kenya. Bei ya kahawa ilishuka...
Back
Top Bottom