Infinix imetoa simu yenye update miaka 5

Infinix imetoa simu yenye update miaka 5

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
6052b2d08395a92becdbdcb4cbe97f92.jpg


Kama Unachoka kubadilisha simu kila baada ya muda mfupi? 😅 Basi ngoja kwanza nikuambie kuhusu hii simu! 👀🔥

Infinix imekuja na ujumbe unaovutia kupitia HOT 70! 📱🔥 Wanasema: “Tough Outside, Beast Inside!” 🤖💪 Yaani muonekano wenye mvuto, nguvu ya Ajabu na ahadi ya masasisho ya programu kwa muda mrefu!

6_20261020_215533_0005.png
7_20261020_215533_0006.png


✅ 💪 Muundo unaolenga uimara na uvumilivu
✅ 🔋 Betri kubwa kwa matumizi ya kila siku
✅ 🚀 Skrini laini yenye 120Hz
✅ 🔐 miaka 5 ya masasisho ya usalama na update kwa matoleo yanayostahili.

8_20261020_215533_0007.png
9_20261020_215533_0008.png


Cha kuvutia zaidi hii simu Inakupa uwezo wa kukaa nayo kwa muda mrefu bila kuhitaji kubadili badili simu kila mara kutokana na kupewa update ya miaka 5.
 
Back
Top Bottom