Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Sio lazima Tena kutumia wifi moja kuweza kuunganisha simu na YouTube yako ๐.
YouTube imetambulisha kipengele kipya kinaitwa Companion View Device inachofanya simu yako kuwa kama Second skrini ikiwa unaangalia YouTube kupitia Smart Tv.
Ukiangalia YouTube kwenye Smart TV, Companion View inakupa uwezo wa kutumia simu yako kama โsecond screenโ โ bila kuvuruga video inayoendelea kwenye TV. ๐ฎโ๐จ
Unaweza kutafuta video nyingine, ku-like, kusoma comments, kusubscribe na hata kudhibiti unachotazama moja kwa moja kupitia simu yako. ๐
Kwa kifupi: TV inaonyesha, simu inakupa control. ๐
๐ฅ Teknolojia inazidi kufanya vifaa vyetu vifanye kazi pamoja kwa smart zaidi!
๐ Ebu tuambie umeshaanza kuiona hii feature kwenye simu yako au lah tuachie maoni yako?