Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Kama una mpango wa kununua simu used Toka kampuni ya Google yani Google Pixel basi kabla ujaamua kutoa pesa yako leo nakuambia jambo Muhimu 👋.
Sio kila Pixel unayoiona dukani ni deal nzuri 😬 Baadhi ya model za zamani zimeanza kusogea mwisho wa masasisho na support, zingine Betri zinazingua, mistari inajitokeza yenyewe nk.
⚠️ Pixel ambazo kuwa nazo makini mwaka huu 2026
❌ Pixel 5a na zilizotangulia — hazipati tena Android au security updates.
❌ Pixel 6 / 6 Pro / 6a — bado zinaweza kufanya kazi, lakini zimeingia kwenye kipindi cha mwisho cha support yao ya miaka 5.
❌ Pixel 7 / 7 Pro / 7a — zina support iliyobaki, lakini si chaguo la muda mrefu kama Pixel 8 Series.
❌ Pixel 7a — pia kuna suala la programu ya Google inayohusiana na baadhi ya betri za Pixel 7a; hivyo ukinunua iliyotumika, ni muhimu sana kuangalia hali ya betri lako.
Kumbuka Kabla hujatoa hela, angalia model, muda wa support na hali ya betri. Wewe unatumia Pixel gani? 👀🔥 Tuambie kwenye comment tujifunze!
Usisahau kutu follow bongotech2⁵5🎮🎧 || Teknolojia ni Yetu sote 🏃 kwa update mbalimbali tags mshikaji wako 😀 ambaye anatumia Google pixel 👋.