1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
Siku hizi umeacha kabisa kupost simu, shida nini tajiri?Mzee nauza simu mwaka wa 7 huu. staki mada iwe ndefu endelea kuamini ivoivo
Siku hizi umeacha kabisa kupost simu, shida nini tajiri?Mzee nauza simu mwaka wa 7 huu. staki mada iwe ndefu endelea kuamini ivoivo
Nmeachia madogo mkuu, kama unaitaji usisite kunitafuta Duka liko palepale na namba ni ileile hamna kilicho badilikaSiku hizi umeacha kabisa kupost simu, shida nini tajiri?
Mkuu simu ni software, izo hardware hata mimi naeza kudesign yangu. Huez linganisha software ya iPhone au Samsung na simu zingine miaka mia na kendaHizo pixel zilizotajwa hapo ni za 2022 kurudi nyuma,hata samsung za miaka hiyo tayari zinakua zishakua na matatizo kibao especial refurb zinazoletwa afrika,halafu hata kama unauza simu tambua 95% za pixel zinazokuja afrika ni refurb,bro pixel OG mpya ulaya na USA ni worth kama iphone,pixel ni USA brand bro,,hasa kuanzia 2023 pixel 8 pro jamaa wanatoa simu nzuri,sio hizo chapati from dubai mnazouzia watu
Watakwambia Camera, iPhone na Samsung ziko mbali sana kwenye iyo categoryHata usiuze simu hakuna simu hizo bhana ni kelele tu nyingi..
Pixel ipi uiweke kundi moja na Iphone matoleo ya sasa hivi au Samsung..
Za kuanzia 2022 kushuka chini zina fault nyingi,chukua kuanzia pixel 8 za 2023 kuja juu,but OG sio copy au refurbHiyo ni simu kweli sema ngoja tuiweke kwenye uangalizi maana hizo Pixel zinazima aisee kuna jamaa angu kila akienda Canada anarudi na toleo jipya ila kwa kuzima na mistari ni kawaida ila zinakaa na chaji sana naamini hii itakua haina changamoto kama hizo zingine maana kuna mtu nataka nimnunulie hiyo nikienda Nairobi ntapata mpya.
Ok dogo anataka hiyo mimi sitoki humu Samsung mkuu labda waache kutengeneza..Za kuanzia 2022 kushuka chini zina fault nyingi,chukua kuanzia pixel 8 za 2023 kuja juu,but OG sio copy au refurb
Kwa kuandika hivi basi umedanganywa kuhusu. Pixel hazina sifa ya kukaa na chaji, hiyo sifa ya kuzima tu ni zile refurbished ambapo kwa iPhone zina shida ya panick full na pia LLA zinasumbua vibaya mno. Kwa mantiki hii, iPhone ndio zinasumbua kuliko Pixel.Hiyo ni simu kweli sema ngoja tuiweke kwenye uangalizi maana hizo Pixel zinazima aisee kuna jamaa angu kila akienda Canada anarudi na toleo jipya ila kwa kuzima na mistari ni kawaida ila zinakaa na chaji sana naamini hii itakua haina changamoto kama hizo zingine maana kuna mtu nataka nimnunulie hiyo nikienda Nairobi ntapata mpya.
Hapana kwa jamaa anazotumia zinakaa na chaji siku nzima zinamaliza na pia yupo busy sana na simu zake tofauti na Samsung..Kwa kuandika hivi basi umedanganywa kuhusu. Pixel hazina sifa ya kukaa na chaji, hiyo sifa ya kuzima tu ni zile refurbished ambapo kwa iPhone zina shida ya panick full na pia LLA zinasumbua vibaya mno. Kwa mantiki hii, iPhone ndio zinasumbua kuliko Pixel.
Samsung zinakaa na charge na zina fast charging capability kuliko iPhone na Pixel. Ila Samsung zinaweka green line hasa baada ya major software update. Pixel kwa kiasi fulani zinapata green lines au green inakuwa inafifia zikitumika miaka mingi. Ila kuanzia Pixel 8 hazina changamoto kubwa inayojulikana.
Samsung wapo vizuriOk dogo anataka hiyo mimi sitoki humu Samsung mkuu labda waache kutengeneza..
Wewe nae acha kujidanganya,pixel ina google AI na android exprience,hivi unajua google ndio wamiliki wa android,simu zote za android haziwezi kuikwepa google,na software mpya yoyote ya android google pixel ndio uwa za kwanza kuzipata,unadanganya hapa eti unaweza kushindana kutengeneza software na mmiliki wa android,pixel kwanza hana version ya africa,nyingi zinazouzwa africa ni refurb tena ile refurb ya chini kabisaMkuu simu ni software, izo hardware hata mimi naeza kudesign yangu. Huez linganisha software ya iPhone au Samsung na simu zingine miaka mia na kenda
MkuuSimu ni iPhone na Samsung tu izo zingine ni wadhamini tu
Pixel hazina version ya popote pale. Ni bands tu ndio zinatofautiana. Tofauti na Chinese makers kama Xiaomi au Oppo ndio wanakuwa na version xinazotofautiana mfano Xiaomi 18 iliyokuwa launched this week international version yake ina slow charging speed tofauti na Chinese version.Wewe nae acha kujidanganya,pixel ina google AI na android exprience,hivi unajua google ndio wamiliki wa android,simu zote za android haziwezi kuikwepa google,na software mpya yoyote ya android google pixel ndio uwa za kwanza kuzipata,unadanganya hapa eti unaweza kushindana kutengeneza software na mmiliki wa android,pixel kwanza hana version ya africa,nyingi zinazouzwa africa ni refurb tena ile refurb ya chini kabisa
Hujui chochote. Uwe na siku njemaWewe nae acha kujidanganya,pixel ina google AI na android exprience,hivi unajua google ndio wamiliki wa android,simu zote za android haziwezi kuikwepa google,na software mpya yoyote ya android google pixel ndio uwa za kwanza kuzipata,unadanganya hapa eti unaweza kushindana kutengeneza software na mmiliki wa android,pixel kwanza hana version ya africa,nyingi zinazouzwa africa ni refurb tena ile refurb ya chini kabisa
usikaririSimu ni iPhone na Samsung tu izo zingine ni wadhamini tu
Nimesemea version ya bei mzee,bei OG ya pixel africa tulipokariri samsung na iphone mtu hawezi kutoa pesa yake kununua pixel,mimi nishatumia hizo simu zote,japo IOS sikutumia muda mwingi nikarudi android,favor ya pixel ndio hiyo uliyoisemea hapo,features zake ni simple na zina upendeleo,kuhusu ubovu unaozungumziwa,wafanyabiashara wa simu wengi wa africa uwa wanaleta pixel refurb ya chini afrikaPixel hazina version ya popote pale. Ni bands tu ndio zinatofautiana. Tofauti na Chinese makers kama Xiaomi au Oppo ndio wanakuwa na version xinazotofautiana mfano Xiaomi 18 iliyokuwa launched this week international version yake ina slow charging speed tofauti na Chinese version.
Naipenda Pixel kwa kunirahisishia integration ya vitu vingi vya Android na kuwa rahisi kusoma. Nasoma sana so siwezi tumia iPhone kabisa kabisa haiko friendly na close ecosystem kwangu, labda Samsung. iPhone labda ningekuwa na uhitaji wa video recording kwa sana.
iPhone 17 series picha zake ni kama AI kwa baadhi ya objects hivyo sioni kama kitu kizuri, nadhani 18 zitakuwa hivi hivi. Picha za Pixel ni neutral hazipo oversaturated au kuwa AI modified sana automatically mpaka uamue.
Pixel ina disadvantage kwa baadhi ya vitu ila overall daily use kwangu mimi ni sawa. Ningekuwa sisomi sana Samsung ingekuwa chaguo langu.
Mjuaji nawe uwe na siku njema kuuzia watu pixel refurb grade 0Hujui chochote. Uwe na siku njema
iPhone nilitumia mwezi kwa mkumbo nikateseka nikaachana nayo. Ilikuwa iOS 17Nimesemea version ya bei mzee,bei OG ya pixel africa tulipokariri samsung na iphone mtu hawezi kutoa pesa yake kununua pixel,mimi nishatumia hizo simu zote,japo IOS sikutumia muda mwingi nikarudi android,favor ya pixel ndio hiyo uliyoisemea hapo,features zake ni simple na zina upendeleo,kuhusu ubovu unaozungumziwa,wafanyabiashara wa simu wengi wa africa uwa wanaleta pixel refurb ya chini afrika