Mimi yakwangu '8 Pro' jana imelala nzima naamka nakuta black screen, najaribu kuchaji nasikia inapokea moto ila haiwaki, kuipeleka kwa fundi anasema kioo kimekufa😇🥲Hiyo ni simu kweli sema ngoja tuiweke kwenye uangalizi maana hizo Pixel zinazima aisee kuna jamaa angu kila akienda Canada anarudi na toleo jipya ila kwa kuzima na mistari ni kawaida ila zinakaa na chaji sana naamini hii itakua haina changamoto kama hizo zingine maana kuna mtu nataka nimnunulie hiyo nikienda Nairobi ntapata mpya.
Samsung nawaheshimu sana mimi sijaweka kioo cha kuzuia imedondoka mara kadhaa na wala haina shida harafu unamkuta mlima mawe anasema sijui pixel sijui Oppo huwa nawaangalia tu hao pixel wa kitunda..Mimi yakwangu '8 Pro' jana imelala nzima naamka nakuta black screen, najaribu kuchaji nasikia inapokea moto ila haiwaki, kuipeleka kwa fundi anasema kioo kimekufa😇🥲