Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02.
2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99.
3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81 ya utekelezaji.
4. Mnara wa Kuongozea Ndege (Control Tower) umefikia asilimia 74 ya utekelezaji.
5. Kituo cha Huduma za Zimamoto kimefikia asilimia 88 ya utekelezaji.
6. Kituo cha Huduma ya Hali ya Hewa (MTO) kimefikia asilimia 87 ya utekelezaji.
7. Barabara ya kuingia uwanjani, barabara za ndani na maegesho ya magari zimefikia asilimia 75 ya utekelezaji.
8. Mfumo wa maji umefikia asilimia 89 ya utekelezaji.
9. Uzio na mageti ya uwanja umefikia asilimia 76 ya utekelezaji.
10. Kazi za umeme na vifaa vya kuongozea ndege zimefikia asilimia 90 ya utekelezaji.