Tukubaliane tu kwamba bongo customer care ni mbovu sana pakiongozwa na kule visiwani.!!

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,824
Reaction score
14,757
Nishakubaliana na hali ya nchi yetu kwenye upande wa customer service ila hii ya mtu kunihudumia huku anaongea na simu very relaxed aisee huwa natamani nimrukie nimpige vichwa af niondoke zangu

Kule Unguja sitaki kupaongelea maana panatia hasira

Hii nchi tulimkosea nini Mungu?
 
sasa kama mnawafunga wenye akili jela, halafu waliofoji vyeti ndio mnawapa madaraka, mungu analaumiwa kwa kosa gani?
 
Malezi yanachangia mtu kuwa hivyo alivyo
 
Back
Top Bottom