Nikiwa kama MwanaCHADEMA Kanda ya Pwani. Nitapiga kampeni Halima Mdee arejeshwe. Tuanze na Kura humu mtandaoni

Je Halima Mdee Arudi au asirudi Chadema?

  • Total voters
    42
  • Poll closed .
Hehee! Kumekucha na Makucha yake.

Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.

Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Halima Mdee hatakiwi na alishafukuzwa Chadema. Cha ajabu hajawahi kutoka hadharani na kusema nini kilitokea. Kurejeshwa Chadema itatuvunja moyo. Halima kama anarejeshwa apewe masharti maalum na moja liwe kueleza hadharani nini kilitokea mpaka akafikiri yeye no mkubwa kuliko chama
 
Hehee! Kumekucha na Makucha yake.

Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.

Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Huyu ni msaliti au malaya wa kisiasa. Kesho akipata uteuzi wa Samia anaondoka! Achana naye!
Kwetu wanasemaga anayetembea na mke wako kama hajafa huwezi kujua kama kesho hatatembea naye
 
Hehee! Kumekucha na Makucha yake.

Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.

Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Hata akirudi, hastahili kupewa cheo chochote si chini ya miaka mitano.
 
Hehee! Kumekucha na Makucha yake.

Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.

Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Sikuwahi kujua kama ww kiongozi hii ndio id yako. Akina Halima kumbuka walienda hadi mahakamani kulinda ubunge wa kihuni. Ninachojua ni kuwa Mdee sio mfia chama bali ni mfia cheo. Mtu wa aina yake ndio hao watatumika kutoa Siri za chama. Arudi abaki bila cheo kama alivyo Dr. Slaa.
 
Halima na Slaa ni malaya wa kisiasa.
 
Sikuwahi kujua kama ww kiongozi hii ndio id yako. Akina Halima kumbuka walienda hadi mahakamani kulinda ubunge wa kihuni. Ninachojua ni kuwa Mdee sio mfia chama bali ni mfia cheo. Mtu wa aina yake ndio hao watatumika kutoa Siri za chama. Arudi abaki bila cheo kama alivyo Dr. Slaa.

Siye twataka aludi. Cheo si tatizo walahi
 
Back
Top Bottom