kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Demekrasi wanaongoza katika uchaguzi wa Seneti Trump kaishaanza kulalamika anaibiwa kura

    Wanaukumbi. 🚨🇺🇸 WADEMOKRASIA WANAONGOZA KATIKA MAENEO YOTE 7 YENYE USHINDANI MKALI KWA AJILI YA SENETI YALIYOONESHWA HAPA Michigan: D+11 Texas: D+7 Maine: D+6 Ohio: D+6 Kansas: D+5 Alaska: D+1 Iowa: D+1 Grafu hiyo inaonesha uwezekano wa Wademokrasia kuongeza idadi ya viti vyao vya Seneti...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Ukarimu au Siasa za Kura? Mbunge wa Nyaribari Chache Aibua Gumzo kwa Kugawa Pesa Taslimu Mtaani"

    Mambo yamekuwa moto katika Kaunti ya Kisii, haswa baada ya video kuibuka ikimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Nyaribari Chache, Hon. Zaheer Jhanda, akiwa katikati ya vumbi akifanya mambo yake mtaani. Kwenye video hiyo iliyosambaa kwa kasi, Mbunge huyo anaonekana akigawa pesa taslimuhasa noti za...
  3. Scars

    JamiiForums Tanzania Ballon d'Or wabadili gia angani baada ya Cristiano Ronaldo kuongoza kwa idadi ya kura kwenye B.O.A.T

    Mwanzoni mwa mwezi huu Ballon d'Or walitangaza kuja na tuzo za B.O.A.Y (Ballon d'Or of all time) Hii ilikuwa inawahusu wachezaji ambao walichukua tuzo za Ballon d'Or kwa zaidi ya mara mbili. Ballon d'Or wakaweka mfumo huru kwa kila mtu kuweza kumpigia kura mchezaji ambaye alikuwa na msimu...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi CCM Kahama huyu mwnachama wenu anayejiita Manala Mbumba anayefanya utapeli ilikuaje mkamruhusu agombee ubunge kura za maoni?

    Huyu jamaa alikuwa anafanya real estate, kuuza viwanja ametapeli watu wengi sana hapa Daressalaam. Na pia ana chuo cha udereva kinaitwa Essence Driving School amekuwa akikitumia kutapeli watu kuanzia wafanyakazi wake , Wanafunzi n.k Mpaka Sasa hapa NIT sisi Wanafunzi ametutapeli pesa za...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana upendo sana isipokuwa wachawi wachache wa JF, TUKAPIGE KURA JAMANI

  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Na nyinyi wana JF mpige kura, hili ni suala la Kitaifa. Tanzania Kwanza

  7. M

    JamiiForums Tanzania TCRA: Mimi 'nimevote' kwa Jihan Dimachk, mshiriki wetu wa Miss Grand International, wewe je?

    Piga kura kwa usalama! 👑✨ Unapomuunga mkono mshiriki wetu wa Miss Grand International, hakikisha unatumia viunganishi (links) rasmi pekee ili kupiga kura, na usitoe taarifa zako binafsi kama vile nywila au OTP ===== Najiuliza hivi hii ndio kazi ya mamlaka hii? Nilidhani Wizara ya habari...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kwanini watu walipie Tsh 2800 kupiga kura kwenye Miss Grand International?

    Wakuu hiki kitu naona kinatrend mtandaoni ila mimi nimeshindwa kuelewa kabisa kwanini tulipie kura Tsh 2800. Sijui ni ubahili wangu au vipi ila akili yangu imegoma kabisa kukubaliana na hili. Naona kampeni ni kubwa ikiwa na baraka zote za serikali kulipia hizi kura ili miss wetu ashinde Miss...
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Waishio Nchini Uganda na Kura za 2027 - Pukose Asema "Watakaowazuia Watauawa"

    Mbunge wa Endebess, Dkt Robert Pukose, amezua mjadala baada ya kutoa kauli kali kuhusu Wakenya wanaoishi Uganda na wanaotarajiwa kuvuka mpaka kushiriki uchaguzi wa 2027. Katika hotuba iliyoripotiwa Oktoba 2, Pukose alisema kuwa yeyote atakayejaribu kuwazuia Wakenya hao kuingia nchini kupiga...
  10. Gunner11

    JamiiForums Tanzania JIHAN mmempigia kura?

    Au sio mambo yenu wana JF? Ndo talk of the nation kwa sasa.
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Uganda Amfanyia Ruto Kampeni, Asema Waganda Wanaweza Kuvuka Mpaka na kupigia Ruto kura

    Mbunge wa Uganda, Brian Kipyagon, amezua mjadala baada ya kuonekana kwenye video akimfanyia kampeni Rais William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 2027. Katika video hiyo, Kipyagon anawasihi wananchi kumuunga mkono Ruto na hata kudai kuwa Waganda wanaweza kuvuka mpaka kuja Kenya kumpigia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 15 anaruhusiwa kuolewa, kwanini haruhusiwi kupiga kura?

    Kama msichana wa miaka 15 anaruhusiwa kufanya maamuzi yatakayoathiri maisha yake yote hapa duniani pamoja na maisha ya watoto wake( ndoa) kwanini haaminiki linapokuja suala la kufanya maamuzi ya kumchagua kiongozi atakayemuongoza kwa miaka mitano?? .
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rossie Uisso Aelekea Thailand Kuwania Miss Global

    Mrembo Miss Global Tanzania 2026 ROSSIE UISSO Leo anasafiri Kuelekea Nchini Thailand kuiwakilisha Tanzania Kwenye Mashindano Ya urembo kimataifa Rosemary Uiso, mshindi wa Miss Global kwenye shindano la Miss Grand Tanzania, ameondoka nchini kuelekea Thailand ambapo October 10,2026, anatarajiwa...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Miss Grand International: Jihan Dimack Top 8! Piga Kura!

    Tanzania kupitia mrembo wake Jihan Dimack ambaye ni Miss Grand Tanzania 2026 imeorodheshwa katika kipengele cha 'Country's Power of the Year' raundi ya kwanza ya Miss Grand International 2026, ikiwa ni miongoni mwa nchi 50 zilizotajwa kwenye safu (ranking) iliyotolewa Septemba 27, 2026 ikiwa ni...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa majimbo ni mzuri kama tutafuata mfumo wa majimbo wa marekani Makabila makubwa bado yatazuiwa kuhodhi madaraka

    Nimeona watu wanajadili kuhusu mfumo wa majimbo na kusema ukija makabila makubwa yanaweza kuhodhi madaraka na hivyo makabila madogo yakawa hayana uwezo wakutoa viongozi wakubwa. Mfumo wa majimbo wa marekani naupenda kwa sababu hata yale majimbo madogo bado yana nguvu kwenye kuamua raisi ukitoa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania Health Summit, mnapoteza credibility ya kuendesha tuzo za afya ikiwa mfumo wa upigaji kura unaacha mianya ya kura zisizo halali.

    Kwanza, napenda kuwapongeza Tanzania Health Summit kwa kuanzisha na kuendesha tuzo zinazowatambua na kuwapa motisha wafanyakazi wa afya nchini Tanzania. Hili ni jambo zuri na muhimu, hasa katika mazingira ambayo mchango wa wataalamu wa afya mara nyingi haupati utambuzi unaostahili. Pia, sina...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu: Chaumma walipata kura ngapi kuwawezesha kupata wabunge viti maalum?

    Jen. Ulimwengu: Fr. Kitima, Wewe unasema kwamba ulipata takwimu za uchaguzi uliopita. Fr. Kitima: Zilitangazwa siku kabla ya kuapishwa mheshimiwa rais na waheshimiwa wabunge tulitangaziwa. Mimi nilitegemea nilipata tu kwenye vyombo vya habari. Unajua mimi kwanza siruhusiwi kuobserve sisi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tafiti zaonyesha Watanganyika na Wazanzibari hawautaki Muungano. Kura zipigwe upya ili wananchi waamue kuuvunja au ubakie

    Wananchi wanatakiwa kuamua kama Muungano unawafaa au haufai. Wazanzibari wanasema unanyonya kiasi hata cha kutokuwa na uanachama Un na Caf. Watanganyika wanalalamika kuwa taifa lao limemezwa. Wazanzibar wanawanyonya kwa kutumia rasilimali zao. Suluhu ni kuitishwa kwa kura ili wananchi waamue...
  20. 888I

    JamiiForums Tanzania Naomba kura kwenye SAMIA KALAMU AWARDS 2026

    Wapendwa, https://samiaawards.tz/mshiriki/260013 Naomba support yenu kwa kunipigia kura kwenye Tuzo za Samia Kalamu Awards,katika kipengele Cha Habari za MAZINGIRA,pia unaweza kusoma habari hizo kupitia link hiyo chini ya neno Piga kura kuna Kazi zilizowasilishwa. Piga kura kwa Isack Dickson...
Back
Top Bottom