Binti wa miaka 15 anaruhusiwa kuolewa, kwanini haruhusiwi kupiga kura?

Kama msichana wa miaka 15 anaruhusiwa kufanya maamuzi yatakayoathiri maisha yake yote hapa duniani pamoja na maisha ya watoto wake( ndoa) kwanini haaminiki linapokuja suala la kufanya maamuzi ya kumchagua kiongozi atakayemuongoza kwa miaka mitano?? .
mbona havina uhusiano kabisa gentleman?🐒
 
Wewe ni sawa na dog, ningesema mbwa nakusamehe.
Ukisikia CCM, ni worse than pigs & dogs
mihemko useless jukwaani ya nini sasa gentleman, badala ya kujikita kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi?

huna haja ya kujiexpose jukwaani ulivyo hodari wa kubeza na kuporomosha matusi jukwaani 🐒
 
Walio andika Katiba ya mwanzo , miongoni mwao walikuwa ni viongozi wa kidini na waumini wa kidini na wazee wa Mila na desturi na wasomi wa sheria.

Wengi wao walikuwa ni wasomi wazuri sana , sema Bado hawakuwa civilized

Ni nani aliyesema kuwa MTU akifikisha umri wa <18 kwamba ndio MTU mzima, ila pia msichana >18 anaweza kuolewa bila hata ridhaa yake .
Kama sio hizi dini mbili na Mila za makabila mbalimbali. ?

Kwa hiyo hawa wasomi wetu wazuri sana, walikopi tamaduni za kwenye vitabu vya dini vyao + utamaduni wa Mila zao kuwa ndio mtindo na muondo wa Maisha ya mtanzania.
 
kama kuna kitu nimejifunza hapa duniani, ni kwamba hakuna kitu rahisi kama kukosoa, lkn kuja na suluhisho ni swala lingine kabisa i mean, siyo rahisi kuja na majibu ambayo yatamridhisha kila mtu lkn bado ni lzm tuishi kwa pamoja na ndiyo maana ya uwepo wa kanuni na taratibu.

wewe unayehoji uhalali wa miaka 18 leta suluhisho lako, wewe ungependelea hali iweje? kwa mfano mtu akiua ungependelea adhabu ianzie umri gani? je, mtoto wa miaka 10 akimuua (inatokea) rafiki yake ashitakiwe na kuhukumiwa kama wa miaka 18 au 20 au 25? na je, jela kijana wa miaka 15 ni sawa afungwe jela moja na wa miaka 25 au 30, 40 au 50? ukianza kufikiria kwenye huo uelekeo utaona kwamba its not easy ila kukosoa ni rahisi, na kabla haujajibu hayo maswali fikiria wewe ulivyokuwa umri wa kubalehe (kuna sababu kwa nini wanaita foolish age) mambo uliyoyafanya ukiyaangalia leo hii hauoni kama unaona ni "utoto" je, ungepependa uhukumiwe kwa kama mtu mzima kwa mambo ya balehe?, ina maana akili inakomaa na umri, hivyo ni lazima kuwe na pa kuanzia, na miaka 18 its just about right age ya akili kukomaa na mtu kuweza kuhukumiwa kwa makosa aliyoyafanya.

hakuna suluhisho lililokamilika, kilichopo ni compromise ...
 
Tatizo ndio liko hapo, ndio maana serikali wanaruhusu hadi binti wa miaka 14 aolewe kwa sababu masheikh wanataka hivyo.
Mkuu ukuaji wa binadamu huwa unadhibitishwa na kwa balehe na sio miaka na wala hili sio suala la mashehe.
Haya mambo ya miaka 18 imetungwa juzijuzi tu hapa hali ya kuwa dunia ina Malaki ya miaka kama sio mamilioni.

Alafu pia Kwa hapa nchini ukiangalia takwimu mikoa inayo ongoza Kwa mabinti kuolewa wakiwa wadogo ni mikoa yenye waislamu wachache.
Je unajua kuwa umri wa binti kuolewa nchini uingereza ni kuanzia miaka 16?
 
Sheria, kanuni na miongozo huwa vinawekwa kwa ujumla wake. Ndio maana hata kwenye kupiga kura kuna umri wa chini wa kuruhusiwa kupiga kura ambao ni miaka 18 japo Kuna watu wenye hiyo miaka hawana akili za kuchagua na kuna watu wana miaka 16 au 17 na wana uwezo mzuri tu wa kuchagua kiongozi sahihi.
 
Lakini sio sahihi kusema eti mashehe ndo sababu ya serikali kutoongeza umri wa kuoa au kuolewa.

Nchi nyingi hapa duniani umri wa kuolewa huanzia miaka 16 kupanda hata kwenye nchi za magharibi ambazo mmekuwa mkizifuata kama mfano.
 
kama kuna kitu nimejifunza hapa duniani, ni kwamba hakuna kitu rahisi kama kukosoa, lkn kuja na suluhisho ni swala lingine kabisa i mean, siyo rahisi kuja na majibu ambayo yatamridhisha kila mtu lkn bado ni lzm tuishi kwa pamoja na ndiyo maana ya uwepo wa kanuni na taratibu.

wewe unayehoji uhalali wa miaka 18 leta suluhisho lako, wewe ungependelea hali iweje? kwa mfano mtu akiua ungependelea adhabu ianzie umri gani? je, mtoto wa miaka 10 akimuua (inatokea) rafiki yake ashitakiwe na kuhukumiwa kama wa miaka 18 au 20 au 25? na je, jela kijana wa miaka 15 ni sawa afungwe jela moja na wa miaka 25 au 30, 40 au 50? ukianza kufikiria kwenye huo uelekeo utaona kwamba its not easy ila kukosoa ni rahisi, na kabla haujajibu hayo maswali fikiria wewe ulivyokuwa umri wa kubalehe (kuna sababu kwa nini wanaita foolish age) mambo uliyoyafanya ukiyaangalia leo hii hauoni kama unaona ni "utoto" je, ungepependa uhukumiwe kwa kama mtu mzima kwa mambo ya balehe?, ina maana akili inakomaa na umri, hivyo ni lazima kuwe na pa kuanzia, na miaka 18 its just about right age ya akili kukomaa na mtu kuweza kuhukumiwa kwa makosa aliyoyafanya.

hakuna suluhisho lililokamilika, kilichopo ni compromise ...
Mkuu, ni nachojiuliza kwanini binti wa miaka 15 aambiwe yeye ni mtoto linapokuja suala la kupiga kura lakini mtoto huyo huyo linapokuja suala la ndoa anaambiwa yeye amekomaa anaruhusiwa kuolewa??Kama tumeamua mtu mzima umri unaanzia miaka 10 au 20 au 30 basi vitu vyote vinavyoruhusiwa kwa mtu mzima eg pombe,kupiga kura,kuoa/kuolewa,kuajiriwa viruhusiwe sio viruhusiwe baadhi vingine vikatazwe.
 
Dah nimechelewa kuona hii mada. Kesho Panapo majaliwa tukipata muda tutajadili.
 
Mkuu, ni nachojiuliza kwanini binti wa miaka 15 aambiwe yeye ni mtoto linapokuja suala la kupiga kura lakini mtoto huyo huyo linapokuja suala la ndoa anaambiwa yeye amekomaa anaruhusiwa kuolewa??Kama tumeamua mtu mzima umri unaanzia miaka 10 au 20 au 30 basi vitu vyote vinavyoruhusiwa kwa mtu mzima eg pombe,kupiga kura,kuoa/kuolewa,kuajiriwa viruhusiwe sio viruhusiwe baadhi vingine vikatazwe.

nilifikiri tanzagiza umri wa kuoa/lewa ni miaka 18, au? at least nafahamu nchi nyingi majirani zetu kama kenya ni kisheria umri wa kuoa/olewa ni miaka 18 ...
 
Bongo binti wa miaka 15 anaolewa kwa ruhusa ya wazazi.
 
Back
Top Bottom