Ballon d'Or wabadili gia angani baada ya Cristiano Ronaldo kuongoza kwa idadi ya kura kwenye B.O.A.T

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
53,537
Reaction score
133,017
Mwanzoni mwa mwezi huu Ballon d'Or walitangaza kuja na tuzo za B.O.A.Y (Ballon d'Or of all time)
FB_IMG_1792750221805.jpg

Hii ilikuwa inawahusu wachezaji ambao walichukua tuzo za Ballon d'Or kwa zaidi ya mara mbili.

Ballon d'Or wakaweka mfumo huru kwa kila mtu kuweza kumpigia kura mchezaji ambaye alikuwa na msimu mzuri katika carrier yake ya Ballon d'Or.

Na ili uweze kupiga kura unatakiwa uchangie kiasi cha EURO 1 sawa na Shilingi 3,000 za kitanzania.

Siku za mwanzoni Cristiano Ronaldo aliongoza kwa 73% huku Messi akiwa na asilimia 9.

FB_IMG_1792750522179.jpg

Baada ya hapo Ballon d'Or wakapost katika ukurasa wao wa X kuwaamsha mashabiki wapige kura.
Screenshot_20261023-131845.png

Mpaka kufikia jana Cristiano Ronaldo alikuwa anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60.

Lakini jana Ballon d'Or wamekuja kutushtukiza na taarifa mpya kuwa hakutakuwa na tuzo physically atayopewa mshindi wa hiyo tuzo ya B.O.A.T (Ballon d'Or of all time)

Ballon d'Or wanasema hii itakuwa tu for fun, licha ya watu kutumia pesa zao lakini maamuzi ya mwisho ndio hayo.

Cristiano Ronaldo aliwahi kusema tuzo za Ballon d'Or zimepoteza credibility, watu wengi walijitokeza na kumpinga.

Lakini kilichotokea kwenye hizi polls walizoandaa kinathibitisha kuwa Ballon d'Or has lost the credibility.
 
Kuna watu watakuja kusema Cristiano Ronaldo alitumia pesa kulipia hizo kura.

Sky sports walipoona hizo narrative wakaamua wazichukue na wafanye free poll.

Mwisho wa siku matokeo ni yaleyale.
HVOh9AQXUAAmEbG.jpg
 
Mwanzoni mwa mwezi huu Ballon d'Or walitangaza kuja na tuzo za B.O.A.Y (Ballon d'Or of all time)
View attachment 3696822

Hii ilikuwa inawahusu wachezaji ambao walichukua tuzo za Ballon d'Or kwa zaidi ya mara mbili.

Ballon d'Or wakaweka mfumo huru kwa kila mtu kuweza kumpigia kura mchezaji ambaye alikuwa na msimu mzuri katika carrier yake ya Ballon d'Or.

Na ili uweze kupiga kura unatakiwa uchangie kiasi cha EURO 1 sawa na Shilingi 3,000 za kitanzania.

Siku za mwanzoni Cristiano Ronaldo aliongoza kwa 73% huku Messi akiwa na asilimia 9.

View attachment 3696820
Baada ya hapo Ballon d'Or wakapost katika ukurasa wao wa X kuwaamsha mashabiki wapige kura.
View attachment 3696826

wakati wanaanzisha hiyo B.O.A.T wslisema kuna tuzo physically?
 
Kuna watu watakuja kusema Cristiano Ronaldo alitumia pesa kulipia hizo kura.

Sky sports walipoona hizo narrative wakaamua wazichukue na wafanye free poll.

Mwisho wa siku matokeo ni yaleyale.View attachment 3696872
Hao wanataka wngagements na pesa zenu euro 1 hizo.
yaan mpka le bado mna huu mjadala wa nani best..
hahaha ila mashabiki wa ronaldo..

subirieni kombe lenu la magol 1,000 ya tap ins..
 
Kabisa.

Jamaa wa Ronaldo wanalazimisha sana jamaa awe goti.

Lakini wapi.

Wakubali tu Ronaldo ni mchezaji mzuri na mkubwa sana lakini sio kwa level za Messi.

Aliyofanya Messi tumeyaona na Ronaldo tumeyaona pia.

Sio jambo la kulazimisha.
 
ronaldo ana tabia ya kukosoa shindano au tuzo pale tu messi akimu overtake..
alisema anataka kuws mchezaji mwenye baloon nyingi ila alipozidiwa akazikosoa..

alisema anaamini golden boot ndio tuzo bora na anataka kuwa mwenye boots nyingi alivyoitwa na messi akazikosoa..

2022 kabla ya world cup alisema world cup ni dream kushinda ila alivyochukua messi tu sasa 2026 anasema it is not a dream..

risiti tunazo

nyie subirini tuzo ya magoli 1,000 aliyokuwa anawafunga luxenburg na san marino, andorra...kwenye qualification za uefa
 
wakati wanaanzisha hiyo B.O.A.T wslisema kuna tuzo physically?
Sky sports waliweka polls ya kumchagua mchezaji bora na matokeo yakaisha kwa Ronaldo akishinda.

Unafikiri kwanini watu hawaishutumu Sky Sports kutotoa tuzo physically ilihali nao pia hawaku declare?

Hapa ndio linapokuja swala la reasoning.

Unajua Ballon d'Or ni taasisi kubwa inayojishughulisha na utoaji tuzo.

Inapofikia wakati taasisi hii inaandaa mchakato wa kura kupitia official website yao tena kwa kuwalipisha watu pesa bila kuwa na uwazi (early transparency) ni dosari.

Ballon d'Or pengine wangefanya huu mchakato kwenye page zao za social media kusingekuwa na hii confusion kwasababu ingekuwa ni rahisi watu kuelewa kuwa hii ni kwa ajili ya entertainment tu.

Kama hawakusema kwanini waje waseme mwishoni baada ya kuona Ronaldo anaongoza?

Kama waandaaji walijua tangu mwanzo kuwa hizi polls hazitakuwa na tuzo bali ni burudani na ishu ya kupiga hela, walitakiwa kuweka wazi ili mtu ajue anafanya for charity.

Hii ndio sababu Ronaldo alisema Ballon d'Or wamekosa credibility.
 
Hao wanataka wngagements na pesa zenu euro 1 hizo.
yaan mpka le bado mna huu mjadala wa nani best..
hahaha ila mashabiki wa ronaldo..

subirieni kombe lenu la magol 1,000 ya tap ins..
Taasisi kubwa kama hiyo kufanya mambo ya usamjo tena kwa tamaa ya pesa ndogo nadhani kama hili ndio lengo lao kama ambavyo umesema basi hapa hamna tuzo ni upimbi na kupotezeana muda tu.

Lakini ujumbe ambao umefikishwa ndio kitu muhimu kuliko hizo buku 3 walizotapeli.

Ujumbe ni kwamba, Dunia inamtambua GOAT wao hata kama mifumo imekuwa ikimkandamiza kwa kujaribu kumuinua Princess wao.
 
Mashabiki wengi mbumbumbu.

Huwezi kushindana na nguvu ya mbumbumbu wasiojua mpira.

Mtateseka sana na goti wako wa kufosi.
Journalists nao ni mashabiki pia.

Hakuna asiyekuwa shabiki na ndio maana hadi Baba yenu baada ya mechi dhidi ya Cape Verde alisema aliteseka na mashabiki wa Argentina
 
Mwanzoni mwa mwezi huu Ballon d'Or walitangaza kuja na tuzo za B.O.A.Y (Ballon d'Or of all time)
View attachment 3696822

Hii ilikuwa inawahusu wachezaji ambao walichukua tuzo za Ballon d'Or kwa zaidi ya mara mbili.

Ballon d'Or wakaweka mfumo huru kwa kila mtu kuweza kumpigia kura mchezaji ambaye alikuwa na msimu mzuri katika carrier yake ya Ballon d'Or.

Na ili uweze kupiga kura unatakiwa uchangie kiasi cha EURO 1 sawa na Shilingi 3,000 za kitanzania.

Siku za mwanzoni Cristiano Ronaldo aliongoza kwa 73% huku Messi akiwa na asilimia 9.

View attachment 3696820
Baada ya hapo Ballon d'Or wakapost katika ukurasa wao wa X kuwaamsha mashabiki wapige kura.
View attachment 3696826

Mpaka kufikia jana Cristiano Ronaldo alikuwa anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60.

Lakini jana Ballon d'Or wamekuja kutushtukiza na taarifa mpya kuwa hakutakuwa na tuzo physically atayopewa mshindi wa hiyo tuzo ya B.O.A.T (Ballon d'Or of all time)

Ballon d'Or wanasema hii itakuwa tu for fun, licha ya watu kutumia pesa zao lakini maamuzi ya mwisho ndio hayo.

Cristiano Ronaldo aliwahi kusema tuzo za Ballon d'Or zimepoteza credibility, watu wengi walijitokeza na kumpinga.

Lakini kilichotokea kwenye hizi polls walizoandaa kinathibitisha kuwa Ballon d'Or has lost the credibility.
Mmeshindwa uwanjani mmekimbilia kwenye tuzo. Ronaldo hata apate 100% na Messi 0% hawezi kupata prestige ambayo nyie stans wake mnataka kulazimisha.
 
yaan mpka le bado mna huu mjadala wa nani best..
Huyu ni kama haoni kinachoendelea mtandaoni.

GOAT wenu aliona mashabiki wake ni kama mpo outumbered na kazi ya kumtetea imekuwa ikiwaelemea.

Akaona aingie mzigoni na yeye.

Akaanza na hii
1792757646652.png

Akawa anasilikizia upepo unaendaje, alivyoona criticism imezidi akahisi tatizo ni kambuzi kadogo.

Akaja na hii.
1792757736780.png

Hizi ni picha ambazo amepost kwenye ukurasa wake mwenyewe. Na bado mashabiki wake wanataka kutuaminisha kuwa huyu jamaa hayupo obsessed na u-GOAT.

Kama hiyo haitoshi wiki kadhaa nyuma alipost video yenye kuonesha kurasa yenye taarabu nyingi halafu mwishoni akamaliza na hii.
1792757869903.png

Kwanini anakuwa na insecurities?
 
Sawa timu cr7.....
Goat wa all time hawezi kuwa huyu mreno, bora Lionel
Messi ni chaguo la mfumo, Ronaldo ni chaguo la watu.

Ndio maana influence ya Ronaldo ni kubwa na unaiona hata katika maisha ya kawaida.
 
Kabisa.

Jamaa wa Ronaldo wanalazimisha sana jamaa awe goti.

Lakini wapi.

Wakubali tu Ronaldo ni mchezaji mzuri na mkubwa sana lakini sio kwa level za Messi.

Aliyofanya Messi tumeyaona na Ronaldo tumeyaona pia.

Sio jambo la kulazimisha.
Alichokifanya Messi kwa kiasi kikubwa hata wewe unaweza.

Kwasababu utahitaji favoritism ya mfumo (FIFA) tu wa kuku push then carrier yako ika-rock in kwenye Club moja ambayo utazungukwa na best players.

Kuwa Ronaldo sio rahisi kwasababu sio tu mapambano ndani ya uwanja bali kuanzia mifumo yote iko dhidi yako kwasababu umekaa kuwa puppet wao.

Moja ya vitu ambavyo utakumbana navyo katika safari yako ya kuwa Ronaldo ni kama hili la Ballon d'Or kutangaza hakuna tuzo kwasababu umeshinda wewe wasiyekupenda.
 
Back
Top Bottom