Mashabiki wa Ronaldo wanafanya hivyo (kupiga hizo kura) ili ionekane jamaa yao Yuko juu.
Kwa upande mwingine mashabiki wa Messi wala hawahangaiki kwa sababu ni dhihiri mtu wao uko juu, hasa ukizingatia pia upigaji huo wa kura tunamuhitaji mtu atoe pesa, yaani hawana cha ku-prove tena.
Hizo Polimilai zenu tumezizoea sana na sasa tumeanza utaratibu wa ku expose moja baada ya nyingine.
Mlianza kwa kusema Messi ni humble na kwamba jamaa sio mtu wa kujikweza kama Ronaldo anavyojitaja yeye kuwa ni bora.
Messi mwenyewe kwa kinywa chake aliwahi kuhojiwa na jarida la Papermag kuhusu ishu ya GOAT akasema "I don't consider myself the best, I think I am just another player,"
Miezi kadhaa mbele kupita akaja na hii
Kama haitoshi kuonesha alikuwa serious na alimaanisha, wiki chache zilizopita akaja na hii.
Halafu leo unasema mashabiki wa Messi wala hamuhangaiki na hayo mambo.
Kwenye mechi ya farewell mashabiki wa Messi ambao wewe umesema hawangaiki na hayo mambo walikuja na hili bango. Maan yake "Ronaldo ni mkristo wakati Messi ni Mungu"
Lakini alichokuja kujibu Ronaldo ni hiki
Huyu Ronaldo ambaye media zimekuwa zikataka awe portrayed kama mtu mbaya ndio amekuwa akijitokeza kumpa faraja Messi pale ambapo ana feel lowest of his low.
Hata pale ambapo Messi alifiwa na Baba yake mzazi, Ronaldo hakubaki nyuma
Lakini huyu mchezaji mwenye sifa ya humbleness hata siku moja hajawahi kushea hisia zake kwa kum comfort mwenzake katika nyakati ngumu anazopitia.
Ronaldo hajaanza leo, hata kile kipindi ambacho Messi anatangaza kustaafu kwa mara ya kwanza 2016 baada ya kukosa penalti kwenye fainali
Ronaldo alisimama naye na kumpa moyo kuwa bado timu inamuhitaji asikubali kustaafu.
Lakini Ronaldo huyo huyo akikosoa kitu hata kwa hoja ambayo ni ya kweli amekuwa akihukumiwa kwa kusema jamaa anajiona mkubwa, ana ego.
Messi aliwahi kusema Copa America ni mashindano ambayo yamekuwa rigged ili kuipendelea Brazil
Kama tukiwa fair bila bias, zile tabia mbaya zote anazotajwa Ronaldo kama mbinafsi, mwenye ego, mjivuni, asiyekubali kushindwa ambaye anaziita tuzo za Ballon d'Or zimekosa credibility baada ya kuona Messi kachukua nyingi. Utagundua sifa hizo na hizi kauli zina mlenga Messi kwenye mambo mengi kupitia references chache nilizoweka hapo juu.